Uvimo tunaweza na tuna uzoefu wa kutosha wa kazi hizoMwenye kujua njia ya kukarabati nyufa (cracks) kwenye kuta za nyumba msaada tafadhali.
Haya mambo jamani hayatatuliwi kwamijadala nifundi kufika sait nakuona panahitaji nnMwenye kujua njia ya kukarabati nyufa (cracks) kwenye kuta za nyumba msaada tafadhali.
Kwa nini mkuu?Umejenga kwenye njia? Kama ulipojenga palikuwa ni njia ya muda mrefu basi huo ufa utaendelea kuwepo. Ila endelea kujaribu kutafuta namna ya kuutoa kwa kuanzia chini.
Mama Nehemiah pole.Habari,
Naomba ushauri wa kitaalamu au kutoka kwa mdau aliyepitia hii changamoto ya ufa kwenye ukuta wa nyumba baada ya kumaliza ujenzi.
Fundi alijaribu mara mbili kutumia magunia kuziba lakini naona bado umejitokeza tena.
Huu ufa uzibweje ili usijitokeze tena?
ufa kwenye numba ni kupumua kwa nyumba ni sawa na wewe ukibanwa pua inakuwaje,hivyo siyo kila ufa unamadharaHabari,
Naomba ushauri wa kitaalamu au kutoka kwa mdau aliyepitia hii changamoto ya ufa kwenye ukuta wa nyumba baada ya kumaliza ujenzi.
Fundi alijaribu mara mbili kutumia magunia kuziba lakini naona bado umejitokeza tena.
Huu ufa uzibweje ili usijitokeze tena?
Ndio maana ukizibwa pua na mdomo hewa inatokeaa ule upande mwingineufa kwenye numba ni kupumua kwa nyumba ni sawa na wewe ukibanwa pua inakuwaje,hivyo siyo kila ufa unamadhara
🤣 🤣 🤣 🤣Ndio maana ukizibwa pua na mdomo hewa inatokeaa ule upande mwingine
Hapo umenena mkuuKuna Aina nyingi za nyufa,
- Kuna ufa unatokana na kusinyaa ama kukauka kwa material Kama plasta(shrinkage)
- Kuna ufa unaotokana na kujishindilia kwa udongo chini ya msingi(settlement)
-Kuna ufa unaotokana na matukio ya Asili Kama tetemeko la ardhi.
-Kuna ufa unaotokana na mabadiliko ya halijoto na kukosekana kwa expansion joint nk.
Ili kuziba ufa inabidi kutafiti Kwanza kujua chanzo chake na ndipo itakuwa rahisi kupata suluhisho la kudumu.