Msaada: Kuna ufa kwenye nyumba, fundi kaziba mara mbili na magunia hajafanikiwa

GOKILI

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
541
500
Mwenye kujua njia ya kukarabati nyufa (cracks) kwenye kuta za nyumba msaada tafadhali.
 

afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,268
2,000
Na kwa nini ufa utokee...mbona kuna nyumba za miaka wakati tunakua hazijawahi kuwa na nyufa...ndio tatizo la kukwepa gharama za ujenzi na kupata olimradi nyumba
 

frabel

Member
Mar 13, 2021
17
45
Habari,

Naomba ushauri wa kitaalamu au kutoka kwa mdau aliyepitia hii changamoto ya ufa kwenye ukuta wa nyumba baada ya kumaliza ujenzi.

Fundi alijaribu mara mbili kutumia magunia kuziba lakini naona bado umejitokeza tena.

Huu ufa uzibweje ili usijitokeze tena?
Mama Nehemiah pole.

Malekebisho yake yana wezekana,
Nipigie
0753961896

Sent using Jamii Forums mobile app
 

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,469
2,000
Habari,

Naomba ushauri wa kitaalamu au kutoka kwa mdau aliyepitia hii changamoto ya ufa kwenye ukuta wa nyumba baada ya kumaliza ujenzi.

Fundi alijaribu mara mbili kutumia magunia kuziba lakini naona bado umejitokeza tena.

Huu ufa uzibweje ili usijitokeze tena?
ufa kwenye numba ni kupumua kwa nyumba ni sawa na wewe ukibanwa pua inakuwaje,hivyo siyo kila ufa unamadhara
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom