Msaada: Kuna tofauti gani kati ya award na subject matter?

Swali lako halijajitosheleza kwa sababu ili kuelezea tofaut kiupana ni lazima ujue limetumika kweny eneo gani..mfano elimu,mahakama na kadhalika kwa upeo wangu mdogo vinginevyo yanabaki tu kuwa maneno yenye maana tofaut mfano subject matter km kitu husika na award km tuzo ila ukieleza limetumika kweny eneo gan inatengeneza maan pana zaid.
 
CV mkuu kuna space mbili

1:Subject Matter------------------------------------
2: Award------------------------------------------------
3: Level--------------------------------------------------
 
Kweny elim hayo ni subject matter ni km ulichosomea ....award ulichotunukiwa maan chet kipi na level ni ufaulu
 
Mfano umemaliza kidato cha nne ukapat div.one
Subject matter ni secondary education
Award ni CSE..yan certificate of secondary education
Na level ni div 1
 
Na kwa vyuo hivyo hivyo ulichosoma,chet ulichopata na ufaulu wako yan gpa ndo ninavyoelewa kiuchache
 
Mfano umemaliza kidato cha nne ukapat div.one
Subject matter ni secondary education
Award ni CSE..yan certificate of secondary education
Na level ni div 1
Mbona Unapotosha Level siyo Degree au Diploma/A level/O-level?
 
1478264784046.jpg
 
Back
Top Bottom