Msaada: Kuna mtu anatumia jina na detail zangu Facebook

Aug 12, 2019
88
125
Habari wakuu.

Nimefuta account yangu tangu February 2018 sasa kuna watu wangu wa karibu wananipigia simu na kuniuliza nimepatwa na shida gani maana vitu nnavyoandika na kuposti huko Facebook sio vya busara.

NImefanya jitihada za kuangalia hiyo account nikakuta ni kweli maana picha (baadhi nilizowahi post) na details kadhaa zinaendana na zangu.

Nilikua natumia jina Masamaki Kimweri (sio halisi). Sasa yeye ameongeza JR mwishoni, yaani Masamaki Kimweri JR.

Naomba msaada nifanye nini ili nimdhibiti huyu bwana?

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
995
2,000
Habari wakuu..

Nimefuta account yangu tangu feb 2018 sasa kuna watu wangu wa karibu wananipigia simu na kuniuliza nimepatwa na shida gani mana vitu nnavyoandika na kuposti huko FB ni vya KIPUMBAVU...

NImefanya jitihaDa za kuangalia hiyo account nikakuta ni kweli mana picha(baadhi nilizowahi post) na details kadhaa zinaendana na zangu..

Nilikua natumia jina >masamaki kimweri(sio halisi)
Sasa yeye ameongeza JR mwishoni. Yaani MASAMAKI KIMWERI JR.

NAomba msaada nifanye nn ili nimdhibiti huyu bwana?

Naganguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa taalifa fb ukieleza kiwa acount yako ipo hacked

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,071
2,000
Report facebook na pia unaweza toa taarifa TCRA kama una nia ya kumchukulia hatua.
 

euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
2,486
2,000
Mbona kama hapo kuna account mbili tofauti au profile picha kaweka ya kwako huyo JR?
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,291
2,000
Kama hajatumia picha yako, namba zako za simu basi huwezi kumshitaki.
Kuna majina kibao yana fanana kila kitu kasoro hizo detail nilizokupa na unakuta mwingine yupo nje ya Tanzania au wote mpo TZ lakini ni watu tofauti.
Hiyo inaruhusiwa na facebook.
Watumie ndugu marafiki na jamaa taarifa wa-disregard hiyo account nyingine siyo yako.
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,291
2,000
Ingekuwa umesajiri Trademark hilo jina lako, au Umesajiri kama Business Name ungeweza kufungua kesi kumzuwia asitumie jina linalo fanana na lako anawachanganya wateja wako.
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
28,296
2,000
Haina Msaada Wowote Facebook Ni Kama Jino Bovu Mdomoni Kujaza Harufu, Dawa Kulitoa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom