Msaada kuna demu nimepata namba yake kupitia rafiki na dem aliridhia kumpa rafik anipe ila nakwama nianzie wapi

Nsam

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
212
286
Nimepata namba ya dem mpya nitumie mbinu gani ili niweze kumpata maana hata nashindwa pa kuanzia na mtoto ana uelewa mkubwa sana na kazi yake! Nilikutana naye mara moja tu! Ila nataka mbinu za kumuingilia ila nimekwama naomben nondo nianzie wap

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hiyo sio shida, shida inakuja atakuuliza ulikuwa unasemaje?? wallah hili swali laki wack sana

Nimepata namba ya dem mpya nitumie mbinu gani ili niweze kumpata maana hata nashindwa pa kuanzia na mtoto ana uelewa mkubwa sana na kazi yake! Nilikutana naye mara moja tu! Ila nataka mbinu za kumuingilia ila nimekwama naomben nondo nianzie wap

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimepata namba ya dem mpya nitumie mbinu gani ili niweze kumpata maana hata nashindwa pa kuanzia na mtoto ana uelewa mkubwa sana na kazi yake! Nilikutana naye mara moja tu! Ila nataka mbinu za kumuingilia ila nimekwama naomben nondo nianzie wap

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulionana nae Mara moja tu? Vp umeshapata angalau moja mbili kuhusu yeye? Anaweza kuwa mke wa MTU.
We jikaze mtoto wa kiume akikutolea nje basi unafuta no zake ili kuondoa stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanamke ameumbwa kuwa chini yako,unashindwaje kitu kidogo kama hicho,ila tambua rafiki yake huyo atakuwa amisha mwambia kuwa ametoa namba yake
 
Mtumie 20,000 tigo pesa. Then uchune uone kama atakupigia. Asipopiga ndani ya masaa mawili, mpigie au mtext. Mwambie kuwa ulikosea namba ila asijali atapatia lunch. From there unaanza kumchatisha mambo ya kawaida. Mkizoeana mwombe kideti. Akikubali, the rest is the history.
 
Mwanamke ni kiumbe jinacho itaji ushawishi ,kwa kila hoja utayakotaka kuitoa jitahidi utie ushawishi ata kama ni uwongo

Afu kumbe number karidhia mpigie jitambulishe ukiwa umesha ambatinisha text ya mpesa
 
mwanamke ameumbwa kuwa chini yako,unashindwaje kitu kidogo kama hicho,ila tambua rafiki yake huyo atakuwa amisha mwambia kuwa ametoa namba yake
Hata mm huwa nashangaa kwel unamoigopaje mwanamke ambae hata yy anajua kabisa lazima awe chin ya dume

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom