MSAADA KUMTAFUTA MDOGO WANGU INNOCENT CYPRIAN KUNDY

Feb 26, 2013
13
4
INNOCENT CYPRIAN KUNDY.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Mirambo ,Darasa la saba.
PICHA YA MTAJWA HAPO JUU NI MDOGO WANGU NA AMETOROKA NYUMBANI TANGU JUMAPILI JIONI.(21-07-2019)
NAOMBA MSAADA KWA YOYOTE ATAKAYEMUONA POPOTE PALE NAOMBA ANISAIDIE KUFIKISHA TAARIFA KWA NAMBA +255789777557 au +255657565722
RB no.KW/RB/4727/2019.
 
Attachments

  • +255 789 777 557 20190802_034331.jpg
    +255 789 777 557 20190802_034331.jpg
    64.6 KB · Views: 41
INNOCENT CYPRIAN KUNDY.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Mirambo ,Darasa la saba.
PICHA YA MTAJWA HAPO JUU NI MDOGO WANGU NA AMETOROKA NYUMBANI TANGU JUMAPILI JIONI.(21-07-2019)
NAOMBA MSAADA KWA YOYOTE ATAKAYEMUONA POPOTE PALE NAOMBA ANISAIDIE KUFIKISHA TAARIFA KWA NAMBA +255789777557 au +255657565722
RB no.KW/RB/4727/2019.
Dogo anaonekana mjanja.fanyeni utafiti kuhusu marafiki zake wa karibu mtaweza kupata taarifa.Mungu wawaongoze.
 
Mazingira ya kutoroka kwake ilikuaje, mfano: labda alikua apate kipigo siku hiyo, au kuna kosa alifanya nk.
 
Dogo anaonekana mjanja.fanyeni utafiti kuhusu marafiki zake wa karibu mtaweza kupata taarifa.Mungu wawaongoze.

Sometimes hata sio ujanja mkuu

home wanaweza kuzingua

Nakumbuka wayback nilichanganya ratiba ya mtihani primary

Nilikuwa najua tunafanya kesho , kumbe ilifanyika kama leo

Basi mzee wangu kusikia vile akaniambia kesho nisirudi kama sijafanya pepa

Na mzee alivyokuwa serious nikasema daah kweli mzee kesho yake baada ya shule nikaingia mtaani

basi home wakaanza kunitafuta mzee nimeenda zangu nikakaa kwenye jumba moja hivi nawaza hapa inakuwaje

imagine nipo std 3 basi

Basi bana nimekaa nikachoka halafu sijapata kitu ikabidi nianze kusaka mlo

nilikuwa naelekea sehemu moja kuna matunda matunda (miembe)

ile niko road mara nakutana na uncle wangu mmoja hivi taarifa zishasambaa nimpote na kunishika mkono kunipeleka home

Huenda kuna biti dogo alipigwa au alikutana na kipondo heavy akasepa

Sasa huko anakoelekea Mungu ndo anajua.
 
Marafiki zake wanajua alipo mwenzio...mara chache std7 kupote asijue anaelekea wapi?!
 
Back
Top Bottom