Rejea kifungu cha 41 cha Sheria ya kazi na Mahusiano kazi Na. 6 ya Mwaka 2004.Natumain ni wazima wa Afya, Je kuna ulazima wa mwajili kumpa barua (notes) Mwajiriwa kuwa hatoweza kumwongezea mkataba mwingine atakapo maliza mkataba alio nao. Nawasilisha kwenu kwa ufafanuzi wa sheria zinavyo sema
Soma vzr post na soma tena s 41 ya Sheria uliyoi quoteRejea kifungu cha 41 cha Sheria ya kazi na Mahusiano kazi Na. 6 ya Mwaka 2004.View attachment 1099428