Msaada kulekebisha hard disk driver iliyoharibika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kulekebisha hard disk driver iliyoharibika.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Gtrury, Jul 27, 2012.

 1. Gtrury

  Gtrury Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wana Jamii Forum naomba msaada kama hard Disk Driver imeharibika mfano imedondoka chini iwe ya laptop au ya Desktop au hata external ,na ukii connect kwenye PC haisomi,je kuna namna ya kuitengeneza ikafanya kazi tene?msada wenu watalaam.
   
 2. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Inaonekana bado hujapata hilo tatizo that is why you are not specific,hard disk,external hard disk.Tatizo muda wa kuelezea category zote hizo ambazo inaonekana bado hazijatokea.Hata nikiwambia try this huwezi cos huna hard disk iliyoharibika.Matatizo yanatofautiana na mengine tunayasolve kwa trial and error.Subilia likitokea nitakusaidia,for the time being siwezi coz "you dont have a problem inhand".
   
 3. Gtrury

  Gtrury Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tatizo lilishanitokea sio kwamba halijatokea tena ninazo nyingi Hard disk zimekufa na Data ndio maana nikaomba msada.labda nimeeleweka vibaya.Tafadhali.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hakuna njia rahisi ya kutengeneza hard drive iliyopata physical damage kwa vile inabidi ifunguliwe na kubadili vifaa vya ndani kitu ambacho kinahitaji utaalamu wa hali ya juu na hivyo ni gharama kubwa so unless hizo data zina thamani kubwa ni bora usahau tu. Najua kampuni ya US (Hard Drive Recovery | My Hard Drive Died | Data Recovery and Training) bei ni $750 kwa HD au $50 evaluation fee wakishindwa kuokoa.

  Hapa bongo kuna kampuni inatoa huduma hiyo Dar Data recovery Tanzania. Software, Services and Solutions (+254) 020 3751400/02 ila bei sijui.
   
 5. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  kuLEkebsha?,..hahahaha'
   
Loading...