Msaada:kukomboa mali ya walipa kodi iliyoporwa.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wana JF, nimekuwa nikitafakari juu ya majengo ya kilichokuwa chuo cha TANESCO kuporwa na kukabidhiwa kwa kikundi cha watu wachache. Ikumbukwe kuwa majengo haya yalikuwa ni mali ya walipakodi wote wa Tanzania sasa ni kwanini iwe sasa ni mali ya kikundi kimoja tu wakati watanzania wote wakiendelea kubeba mzigo wa kulipa madeni ya mashirika ya umma yaliyofirisika?, naleta ombi kwenu wana JF wenye uchungu na mali ya umma na wenye uelewa wa sheria wanisaidie niweze kufungua kesi mahakamani kudai mali hii irudishwe mikononi mwa walipakodi wa Tanzania. Nawasilisha.
 
hicho kikundi kilichopewa nacho kilikua hakilipi kodi kama wewe?juzi dodoma jk alisema ataongeza ruzuku kwa hospital za mission jee hizo pesa si za walipa kodi?jee serikali isiwe na upendeleo kwa makundi maalumu katika jamii?hembu fikiri kundi moja ktk nchi lina vyuo vikuu karibu 20 kundi jingine halina chuo au kipo kimoja tuu!huoni kuna busara aliyoitumia mkapa?
 
Una maanisha Muslim University of Morogoro ambacho zamani ndicho kilichokuwa Chuo cha Tanesco au unazungumzia jengo gani?
 
Hili kundi lenye vyuo karibu 20 vyuo hivi ilipewa na serikali, kwanini hiki kikundi kilicopewa hakikuweza kujenga chuo hata kimoja kwa juhudi yake yenyewe?, kwa hiyo serikali itaendelea kupora mali za walipakodi na kukipa kikundi hiki ili nacho kiwe na uwiano wa umuliki wa vyuo?!, huu ni wizi and unfair.
hicho kikundi kilichopewa nacho kilikua hakilipi kodi kama wewe?juzi dodoma jk alisema ataongeza ruzuku kwa hospital za mission jee hizo pesa si za walipa kodi?jee serikali isiwe na upendeleo kwa makundi maalumu katika jamii?hembu fikiri kundi moja ktk nchi lina vyuo vikuu karibu 20 kundi jingine halina chuo au kipo kimoja tuu!huoni kuna busara aliyoitumia mkapa?
 
hicho kikundi kilichopewa nacho kilikua hakilipi kodi kama wewe?juzi dodoma jk alisema ataongeza ruzuku kwa hospital za mission jee hizo pesa si za walipa kodi?jee serikali isiwe na upendeleo kwa makundi maalumu katika jamii?hembu fikiri kundi moja ktk nchi lina vyuo vikuu karibu 20 kundi jingine halina chuo au kipo kimoja tuu!huoni kuna busara aliyoitumia mkapa.

Bongolala,Tazama vizuri hapo kwenye bold, ni vema ukakumbuka kuwa ni Serikali ndiyo iliyoziangukia taasisi hizi ili ziipunguzie mzigo serikali. unapaswa kutambua kuwa hospitali hizi hazijengwi kwa kodi bali kwa zaka na sadaka. Hivi vikundi vingine kazi yake ni kutumia zaka na sadaka kujenga madrasa na misikiti pamoja na kudfadhiri mihadhara ya uchochezi - kama mulipewa chuo cha Tanesco <Morogor mulipaswa sasa kuona aibu na muanze kukimbia kuiletea maendeleo sahihi jamii yenu na si kutumia pesa senu kwa mabo yasiyosaidia jamii kisha munabaki kulalalma kuwa serikali inatoa ruzuku kwa hospitali za makanisa.
 
Back
Top Bottom