MSAADA: Kukaa hostel za chuo au kupanga mtaani ni kipi bora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA: Kukaa hostel za chuo au kupanga mtaani ni kipi bora?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fahad1208, Sep 5, 2012.

 1. f

  fahad1208 Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nmechaguliwa st.john unvrsty ya Dodoma ila hadi sasa bado sijaamua ntakaa katka hostel za chuo au la.Kwa mwaka st.john wanatak Tsh.392500/= Je kukaa hostel za chuo na mtaan kupi kuna faida zaidi? Naomben ushaur katka hil
   
 2. nasssen

  nasssen JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 80
  mtaani....free to carry out ur timetable eazly!!!
   
 3. f

  fahad1208 Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  thats cool!
   
 4. v

  victer Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  bora kukaa mtaani coz mtaani unaweza amua kuchangia room na washikaji na mkapunguza costs kulko hiyo cost ya hostel na ndani ya hostel mnajikuta mnakaa mtu 4....... so its better kukaa street!!!!!!
   
 5. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Du,sasa hivi navyo vinakuwa vyuo vikuu vya kata,wanafunzi wanakaa gheto?
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  M2 wang mtaan fresh zaidi kama vp jipange 2 pia mtaani utajifunza kuhusu maisha jins yalivyo.
   
 7. byembalilwa

  byembalilwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,538
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  unampango wa kuoa/kuolewa? Mtaan kwa hilo panakufaa.
   
 8. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  nakushauri kwa gharama hzo usikae hostel ila kua muangalifu utapofika chuo hcho kwasababu kina mazingira yasiyo salama ambayo kumekua na matukio ya ubakaji sana kwa wanaume na wanawake
   
 9. f

  fahad1208 Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kvp? Katka mazngira ya chuo au mtaani?
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ukikaa mtaani ndo vizuri maana ndo ivo unayaanza maisha taratibu, lakini epuka kuchangia chumba eti na washkaji we jibane panga chumba chako na kila utakachnunua kiwe chako, wakati umemaliza chuo na unahangaikia ajira mjini inapendeza kama unatokea kwako hasa kwa wale wa mkoani kama mimi wa Katavi maana unakuta huna ndugu mjini then inakuwa taabu sana kufanya michakato ya maisha hapa mjini. Lakini jihadhari usije ukawa unataka kukaa mtaani ili uharibu watoto wa watu kwa tuhela twako twa boom utalaaniwa, bora ukae huko huko chuo utoane jasho na wenzio
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  matukio hayo yanatokea katika mazingira ya chuo ni hostel na mitaa yote inayo zunguka chuo. Uliza wanaosoma pale watakupa mkanda mzima ulivyo.
   
 12. Erick Xinzer

  Erick Xinzer Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jipange tutakutana!!!!!!!
   
 13. f

  fahad1208 Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kjana na ww ndio unaanza 1st yr?
   
 14. f

  fahad1208 Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama vp mwana ntafute humu www.facebook.com/athman1208 or search 4 Athman hamim Fahad il 2peane mipango
   
Loading...