The only JF-Expert Member May 19, 2011 10,433 13,415 Sep 7, 2011 #1 jamani nina simu ya nokia nataka niiunge kwa internet sasa ishu ni nashindwa kujua ni nokia namba ngapi mfano nikia 6020 au .... mwageni maujanja
jamani nina simu ya nokia nataka niiunge kwa internet sasa ishu ni nashindwa kujua ni nokia namba ngapi mfano nikia 6020 au .... mwageni maujanja
NYENJENKURU JF-Expert Member Feb 11, 2011 1,063 288 Sep 7, 2011 #4 kita '*#0000#' Click to expand... Ni kweli kabisa na itakonyesha ilitengenzwa lini yaani tarehe,mwezi na mwaka na aina ya simu kama ni N-73 ect
kita '*#0000#' Click to expand... Ni kweli kabisa na itakonyesha ilitengenzwa lini yaani tarehe,mwezi na mwaka na aina ya simu kama ni N-73 ect
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,708 39,783 Sep 8, 2011 #6 hebu click hii link http://vulpine.mobi/spec/mydevice ikikataa najiuzulu jf