ikonongo2019
Member
- Nov 30, 2019
- 9
- 2
Wakubwa msaada wa kujua haya ni madini gani. Ninayo kama kilo moja hivi.
Piga picha vizuriii
Mbona ka kipande cha aluminium!!! Ebu fafanua umeyapata wapi!? Jibu la swali litasaidia sana kufafanua ni aina gani ya madini uulizayo.
Mtu anayejua vitu vingi vya mtaani kaa nae mbali.. kama Mrangi. Hahahaaa
Ukiangalia kwa juu yanaonekana yana rangi ya kijaniNahis ni tourmaline sema yatakuwa hayana thamani maana haya reflect mwanga inatakiwa yawe yana reflect mwanga
Bei zikoje sokoni?Hiyo ni Tourmaline
Hiyo ni low grade quartz, haina thamani kikiwa kipande, labda liwe li - slab likubwa
Hiyo ni low grade quartz, haina thamani kikiwa kipande, labda liwe li - slab likubwa
Ukiangalia kwa juu yanaonekana yana rangi ya kijani
Bei zikoje sokoni?