Msaada kujua gharama za ziada ktk kuingiza gari nchini (mbali na CIF na ushuru wa TRA )

Gharama za bandari,gharama za agenti wako,bila kusahau shipping line.Pia gari ikikaa zaidi ya siku zinazoruhusiwa na bandari gharama za bandari zitaongezeka i mean storage charge na kama hukufanya inspection japani utalipia 30% Tbs hapo storage charge itakuwa halali yako.
 
Back
Top Bottom