Msaada Kujiunga na Program ya OSHA

Abby The Rider

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
444
674
Wakuu habarini

Naomba kufahamishwa kuhusu hii Kozi ya OSHA, jinsi ya kujiunga na kozi zao.
First nataka nijue wanapatikana wap na kozi zao ziko vipi na utaratibu wa kujiunga na kozi.
Pia duration ya kozi na gharama zao.
Itapendeza kama mtaongeza faida za hii kozi ya OSHA

Msaada tafadhali
 
Ofisi kuu zipo kinondoni B DSM.

Ila kila kanda wapo eg. Mby, Dom,Mwz, Ars.

Kozi zao nyingi ni za wiki 1. Na ndefu kabisa ina waki 6 kama sikosei

Kozi hizi zinawafaa sana watu wa industrial, Mining, Civil, mechanical na related fields.

Coz za Osha zinampa mtu awareness na Utambuzi wa Risk zilizo mbele yake wakati wa kazi. Pia zinalenga kuboresha Afya na usalama mahala pa kazi.

Ingia kwenye website yao utaona PDF yenye ratiba ya mwaka mzima na sehemu zao zote Tanzania. Ada zao ni kuanzia 250k hadi 650k

Mwezi huu mwishoni nitakuwa Mwanza ku attend Course yao moja
 
Asante sana mkuu.. Umenipa mwanga wa kutosha.
Ila naomba msaada wa hiyo tovuti yao(link)
 
Back
Top Bottom