Msaada: Kujaza fomu ya shipping address kuna mambo kadhaa yameniwia ugumu

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
488
184
Hello wanajamvi kama kicha che habari kinavyooneshwa katika kujaza form ya shipping address kuna mambo kadhaa yameniwia ugumu.
kama picha inavyyonesha hapo kwenye State/Province/County na Kwenye Zip/Postal Code

Karibuni
 
Attachments

  • Screenshot_20180518-202134.png
    Screenshot_20180518-202134.png
    8.5 KB · Views: 77
Hapo state/province/country jaza Tanzania

Hapo postal code ,wewe upo mkoa gani?
Postcode List pita hapa kupata postal code
 
Hello wanajamvi kama kicha che habari kinavyooneshwa katika kujaza form ya shipping address kuna mambo kadhaa yameniwia ugumu.
kama picha inavyyonesha hapo kwenye State/Province/County na Kwenye Zip/Postal Code

Karibuni

Jaza kama hivi, short & clear, zip code/post code Cheki kwenye website ya TCRA.
IMG-20180519-WA0002.jpg
IMG-20180519-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom