msaada kuinstall windows | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuinstall windows

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sop sop, Jun 15, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nina tatizo kwenye kuinstall windows,ninapoweka cd ya windows kwenye dvd/cd rom inaniambia press any key to boot cd or dvd......nikijaribu kupress inagoma kubooting na inarudi kwenye kustart computer...,jamani naombeni msaada wenu tatizo ni nn?inaweza kuwa ni computer au key keyboard......?
   
 2. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mbona kimya wazee...!!!!!
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wazo la haraka haraka ni kwamba cd yako ya windows ndo ina shida. umejaribu cd nyingine?? au kuboot hiyo cd yako kwa kompyuta nyingine?
  nakumbuka mwanzoni windows 7 ilivotoka ilkuwa inasumbua kuboot, ila tatizo lilikuwa ni kwamba watu walikuwa wanaburn hiyo iso vibaya. hebu test hiyo cd kwa computer nyingine
   
 4. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  cd haina shida na nimejaribu sehemu nyingine imekubali,ila wakati wa kuboot cd keyboad inagoma kufanya kazi...,plz tatizo litakuwa ni nn hapo?
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ni desktop au laptop?? sidhani ni keyboard coz ingekuwa ni keyboard, usingeweza kuchagua boot order (f9 au something like that)
  unaweza kuingia kwa bios. hebu nitajie make ya computer yako na os unayoinstall
   
 6. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  desktop
  hp compaq,pentium 4 HT
  pia nikijaribu kubonyeza f9 inagoma..
  os ninayotaka kuinstall ni windows 7 ultimate
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  badilisha CD au DVD unayotumia mambo yatanyooka hiyo ndio solution
   
 8. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nimejaribu cd nyingine lakini bado tatizo liko pale pale
   
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kama desktop, inawezekana kweli ni keyboard. chomoa rudishia. unaweza access bios??
   
 10. leh

  leh JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  chomoa rudishia keyboard. hasa kama sio usb keyboard, katafute nyingine ujaribu
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Ingia kwenye BIOS na ubadili boot order sequence kwa kuweka CD/ DVD Rom kama first option na Hard
  Disk kama second order...from there you're good to go.

  Otherwise, your keyboard is faulty
   
 12. leh

  leh JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sio kama ubishi ama nini mkuu, lakini kama anafika mpaka sehemu ya *press any key to boot from cd/dvd* si ina maana ana boot kutoka kwa dvd rom yake??
   
 13. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  gamba2gamba vp wewe ni fundi wa mambo hayo? Manake hiyo ni taaluma ya watu. Watafute,au unadhan kuinstall windows ni ku-press enter tu!? Nipamoja na kujua mambo hayo ...
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280

  Fuata huu ushauri ....

   
 15. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  tatizo langu sio hilo,unalofikiria ww...embu jaribu kurejea nilichokisema..?
   
 16. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mpaka ninasema hivyo sijakurupuka nina maana yangu kuwaambia mnisaidie hili suala kwa maana ni mara ya kwanza kutokea...
   
 17. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kwelii...!!
   
 18. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kweli hii ninayotumia sasa haina usb port,nadhani itakuwa ni tatizo moja wapo kwa maana tatizo limetokea baada ya kuanza kutumia hii ya kawaida ni baada ya ile yenye usb port kuharibika.......,embu ngoja niufanyie kazi huu ushauri nahisi itakuwa nyia mbadala........!!
   
 19. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kweli hii ninayotumia sasa haina usb port,nadhani itakuwa ni tatizo moja wapo kwa maana tatizo limetokea baada ya kuanza kutumia hii ya kawaida ni baada ya ile yenye usb port kuharibika.......,embu ngoja niufanyie kazi huu ushauri nahisi itakuwa njia mbadala........!!
   
 20. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nahisi tatizo ni keyboard ..kama hata f9 haikubali basi badili keyboard yako kama kaka hapo juu alivyoshauri
   
Loading...