warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,380
Habarini wakuu?? Nina tatizo kidogo apa, jana nilinunua kingamuzi cha zuku, nikalipa na wakaja mpaka home wakafunga fresh, ila station zikawa hazipatikani wakatuambia baada ya mda zitakuwa hewani, toka jana mchana had sasa ivi hakuna station ninayoipata, jana niliwauliza wakasema sijui wametuma email kenya so nisubir tu had waniungashie, mpaka sasa iv ninavyoongea hakuna cha channel wala nn, je izi ndo taratibu za zuku au vip?? Maana siwaelewi