DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,961
pimbi n mamaako
Nakuamuru ukae kimya usiingilie mambo yasiyo yako, utatandikwa kombora usielewe linatokea wapi na kwasababugani..ni hayo tu
pimbi n mamaako
Kwa kuws UKAWA wameunganisha nguvu nadhani watengeneze kamati maalumu ya kushughulikia ishue za daftari la wapiga kura...
Kwa kuws UKAWA wameunganisha nguvu nadhani watengeneze kamati maalumu ya kushughulikia ishue za daftari la wapiga kura...
Sijui kama wanaelewa Tuko,inawezekana tunavyoliona tatizo sivyo wao wanavyoliona.Wakiona ile NYOMI wanadhani wapo salama.Kumbe hawako salama kabisa.
There you are unajua wingi wa watu ni kwa hasara/faida ya ukawa! wao sijui kwa nini hawastuki watu wanapokuwa wengi na ndivyo ccm anapozidi kuumiza kichwa na shetani anawapa mbinu zaidi za kuiba kura.So wingi wa watu kuja mikutano ya ukawa ni hasara/faida kwa ukawa.
Kaka Tuko na infomania,
hiyo kitu ni ngumu na hakuna mtu anayeweza kuidhibiti zaidi ya NEC na Hao CCM wenyewe,
Iko hivi
Data za watu wote waliojiandikisha kwenye vituo mbalimbali vya nchi nzima ziko kwenye central Database NEC, wao ndio wenye uwezo wa kuzichezea hizo data kadri watakavyo, wanaweza kuedit, kufilter, kusegregate vyovyote watakavyo, kwa hiyo hata kama Ukawa au yoyote yule akifatilia kukosekana kwa watu ndani ya hiyo database, NEC inaweza kuwarudisha na siku mbili au moja kabla ya uchaguzi ina wafilter inavyotaka
Ili kuicontrol Database kama hizo ni lazima kuwe na ile locking system ya pamoja, yaani unaifunga hiyo Database kiasi kwamba hakuna mtu wakuweza kufanya chochote, yaani kama vyama vyote vimeridhika na hiyo Database kuwa iko sahihi, basi kwa pamoja wanailock na inakuwa kwamba chama kimoja hakiwezi kuifungua bila kuwa na muunganiko wa Unlocking codes kutoka kwenye vyama vilivyoilock hiyo Database
kwa hali ilivyo sasa hakuna wa kuwasimamisha NEC wala CCM kuichezea hiyo database ( Daftari la kudumu la wapiga kura)
naona ndoto ya kupiga kura katika familia yetu ya watu saba imetanda giza. Hiyo ni baada ya kuangalia kapitia mobile system kwa namba waliyotuelekeza lakini system imeshindwa kutambua namba zetu ikatuelekeza twende ofisi za kata, hatukusita tukaenda kibaya zaidi taarifa zetu wote hazikuwepo na kwa nilivyoona inawezekana ni watu wengi hawapo. Swali je kama taarifa zako hazipo hutaweza kupiga kura?
====================
====================
Naona ndoto ya kupiga kura katika familia yetu ya watu saba imetanda giza. Hiyo ni baada ya kuangalia kapitia mobile system kwa namba waliyotuelekeza lakini system imeshindwa kutambua namba zetu ikatuelekeza twende ofisi za kata, Hatukusita tukaenda kibaya zaidi taarifa zetu wote hazikuwepo na kwa nilivyoona inawezekana ni watu wengi hawapo. Swali je Kama taarifa zako hazipo hutaweza kupiga kura?
====================
====================
( ! ) Fatal error: Maximum execution time of 120 seconds exceeded in C:\wamp\www\vote\system\database\drivers\sqlsrv\sqlsrv_driver.php on line 191 | ||||
---|---|---|---|---|
Call Stack | ||||
# | Time | Memory | Function | Location |
1 | 0.0007 | 271856 | {main}( ) | ..\index.php:0 |
2 | 0.0021 | 343824 | require_once( 'C:\wamp\www\vote\system\core\CodeIgniter.php' ) | ..\index.php:292 |
3 | 0.2360 | 3353056 | call_user_func_array:{C:\wamp\www\vote\system\core\CodeIgniter.php:514} ( ) | ..\CodeIgniter.php:514 |
4 | 0.2360 | 3353600 | Search->execute_search( ) | ..\CodeIgniter.php:514 |
5 | 91.2398 | 3379824 | m_voter->get_results( ) | ..\search.php:114 |
6 | 91.2404 | 3383920 | CI_DB_query_builder->get( ) | ..\m_voter.php:11 |
7 | 91.2427 | 3384048 | CI_DB_driver->query( ) | ..\DB_query_builder.php:1342 |
8 | 91.2428 | 3384272 | CI_DB_driver->simple_query( ) | ..\DB_driver.php:642 |
9 | 91.2428 | 3384272 | CI_DB_sqlsrv_driver->_execute( ) | ..\DB_driver.php:771 |
Kaka Tuko na infomania,
hiyo kitu ni ngumu na hakuna mtu anayeweza kuidhibiti zaidi ya NEC na Hao CCM wenyewe,
Iko hivi
Data za watu wote waliojiandikisha kwenye vituo mbalimbali vya nchi nzima ziko kwenye central Database NEC, wao ndio wenye uwezo wa kuzichezea hizo data kadri watakavyo, wanaweza kuedit, kufilter, kusegregate vyovyote watakavyo, kwa hiyo hata kama Ukawa au yoyote yule akifatilia kukosekana kwa watu ndani ya hiyo database, NEC inaweza kuwarudisha na siku mbili au moja kabla ya uchaguzi ina wafilter inavyotaka
Ili kuicontrol Database kama hizo ni lazima kuwe na ile locking system ya pamoja, yaani unaifunga hiyo Database kiasi kwamba hakuna mtu wakuweza kufanya chochote, yaani kama vyama vyote vimeridhika na hiyo Database kuwa iko sahihi, basi kwa pamoja wanailock na inakuwa kwamba chama kimoja hakiwezi kuifungua bila kuwa na muunganiko wa Unlocking codes kutoka kwenye vyama vilivyoilock hiyo Database
kwa hali ilivyo sasa hakuna wa kuwasimamisha NEC wala CCM kuichezea hiyo database ( Daftari la kudumu la wapiga kura)
Wewe ndie niliekuona una uelewa wa masuala haya kwa kinachoweza kuwa kilitendeka na pia mategemeo ya mapungufu haya.Kosa kubwa walilifanya viongozi wote wa upinzani na ukawa wakiwemo. Kuingia uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi ambayo kwanza ingejumuisha baadhi yao kama wajumbe ilikuwa ni kuiruhusu ccm kutumia mbinu chafu yoyote ikiwepo na ya magoli ya mkono kushinda kirahisi na kwa kishindo. Kumwachia raisi na ambae ndie m/kiti wa ccm kumteua m/kiti tume ya uchaguzi ni kosa la kwanza. Lazima angemteua mtu atakaemsikiliza na kukisaidia chama chake. Kukubali mashine za bvr kulazwa kwa wakurugenzi wa miji, halimashauri,watendaji kata ambao wote ni wateule wa raisi na serikali iliyo madarakani na bila udhibiti wowote wa wa viongozi wa upinzani ni sawa na kuwaruhusu kuongeza majina wayatakayo na kuyafuta ya wapinzani kwani wanachoangalia ni umri unaoanzia miaka 18 hadi 35 wanafuta majina na taarifa zao. Haiwezekani kituo kiandikishe watu 3800 kati yao 600 wote majina hayaonekani tena ukiangalia umri ni huo huo wa vijana.Nao kisheria hawatapiga kura. Huo ushindi kwa ukawa unapatikanaje hata wangejaza viwanja vitatu vya mpira kwenye mikutano.
. Maneno yasikuogopeshe kamandaPathetic! Kumbe ni Cadre....
Wasalaam alekum
Ni wazi huu upepo wa siasa unavovuma hiki chaweza kujitokeza kwamba baadhi ya watu wasione majina Yao angali wana vitambulisho.
Sasa nlitaka tuanze kuwekana sawa mapema na ikiwemo tume ya uchaguzi itoe mwongozo mapema kwa watu wasiioona majina yao wafahamishwe mapema nini cha kufanya.
La sivyo naona Kuna ombwe la machafuko linatengenezwa. Yaani mtu awe na kitambulisho cha kura halafu asiruhusiwe kupiga kura kisa tume haijaweka jina lake.
Hii michezo yenu hii tunaiangalia nje ya boksi kwa jicho la tatu.
Tutafahamiana tu....
Mtaisoma namba.