Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,736
- 2,321
mara nyingi nikiingia site mbalimbali either ku-download au ku-create account sehemu naulizwa ZIP CODE na hii mara nyingi baada ya kujaza nchi yako,,je ZIP CODE NI KI22 GANI?afu kama ni hivyo hiyo code kwa TZ NI HIPI