Msaada kuhusu Zantel

mohammad_othar

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
247
42
Habarini wadau,

Inawezekana ikawa sio sehemu sahihi ya kupost hili, lakini nilitaka kuuliza; Zantel wana offer ya unlimited 30,000 kwa mwezi, je, ni kweli unlimited au kunakua na limit baada ya matumizi ya GB flani ?
 
Mkuu hiyo siyo maajabu. Mimi situmii Zantel lkn offer za unlimited data ziko sehemu nyingi duniani. Sishangai km wana hiyo offer.
 
Mkuu hiyo siyo maajabu. Mimi situmii Zantel lkn offer za unlimited data ziko sehemu nyingi duniani. Sishangai km wana hiyo offer.

Najua Nlikua nauliza ni unlimited as HAINA kikomo kabisa au ndo magumashi kama kampuni zingine unakuta wanasema unlimited kisha ikifika gb labda 5 inaanza kuwa slow hilo ndo tatizo langu. Unlimited zipo kampuni nyingi hata mm naelewa
 
Back
Top Bottom