Msaada kuhusu Written Interview ya TTCL nafasi ya Afisa Mauzo

kitanywe 1

Senior Member
Aug 3, 2020
146
336
Habari za jioni wadau.

Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya SALES OFFICER . Ni maswali gani wanapendelea kutoa?

Asanteni sana.
 
Habari za jioni wadau.

Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya SALES OFFICER . Ni maswali gani wanapendelea kutoa?

Asanteni sana.
Tangazo la kazi lilihitaji watu waliosemea course gani??ili watu wajue jinsi yakukusaidia
 
Back
Top Bottom