Msaada kuhusu World vision

rmvicentrm

Senior Member
Jan 8, 2016
147
26
Habari...
Mwenye kuijua world vision kasulu cluster naomba anipe details zake
Asanteni sana
 
Mimi hawa mabwana natani sana nifanyenao kaz lkn ile fomu yao ya kuomba online ndio inanichanganyaga kila siku nikiomba naomba msaada kwa mtaalamu aliyepitia WV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom