Msaada kuhusu window 11

Hata windows 10 hizi mpya recommended specs ni Gen ya 8 lakini haimaaanishi kwamba hazitarun kwenye vifaa vyengine.

Ni muda wa waandishi wa habari kupata views kwa kutisha Tisha watu, watu walalamike, comments ziongezeke etc.

Tusubiri itoke hio win 11 ila kwa uelewa wangu itaingia machine yoyote hadi za core 2 duo, watakuonya tu kama pc haijakidhi vigezo.
Nimeona website yao wanaanza na gen 8 kwa upande wa intel Windows Processor Requirements Windows 11 Supported Intel Processors

Nimesikia may be wakashusha hadi 6 gen kama wakiona inarun vizuri.
 
image-2021-07-26-17:35:53-974.jpg

Ambao tuna TPM Ver. 2 tujuane kabisaaaaaaaaa
 
Chief naomba link iliniweze kuipakua windows 11
Jiunge na insider kwenye pc yako Hakikisha una secure boot na free storage gb 64, watakuletea update wenyewe.

Sema haipo stable usiweke kwenye computer ambayo ni ya kazi.
 
Back
Top Bottom