Msaada Kuhusu Vodacom

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Viongozi naomba mwenye namba ya mtu TCRA anayeweza kunisaidia kudeal na vodacom anisadie! Tumekuwa tukifanya malipo kwa mpesa siku hizi na inaweza kuchukua hata siku tatu mwamala haujakanilika! Kila unapopiga simu call center wanakujibu kwa jeuri tu kuwa mwamala huko hewani!
..,...
Jana nimelipia DSTV kiasi cha 139,000 na 26,500 (ni PVR option) lakini mpaka sasa mwamala haujafika Multichoice DSTV! Hii si mara ya kwanza au ya pili imetokea mara nyingi mpaka naanza kukosa credebility na mtandao wa Mpesa!
 
Kama umeweza kupost hapa,umeshindwaje kutafuta app ya Voda upate namba zao?
Hili jukwaa msilifanye la watoto wenzio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom