Msaada kuhusu vipimo vya DNA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu vipimo vya DNA

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by christer, Nov 23, 2011.

 1. c

  christer Senior Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau pole na kazi,
  naomba kufahamu kuhusu ili.

  kuna jamaa ana mke wa ndoa na mtoto mmoja.hivi karibuni amebadili tabia na kusema chanzo ni kugundua kuwa mtoto si wake baada ya kupima.cha ajabu hana document yoyote kutoka kwa mkemia wala alikopimia.suala anamwambia mkewe tu bila msisitizo wa kuitisha vikao vya ndugu wala talaka.na mke anasema ana uhakika 100%mtoto ni wa jamaa na yuko tayari wakapime kwa pamoja lakini jamaa ataki.je mwamamke anaweza kuchukua hatua gani kwani hii ni embalacement kwake.na mtoto anakosa haki yake.ukipima DNA upewi document?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,869
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa hana akili timamu. Utasemaje mtoto si wako kwa sababu umepima lakini hutoi hati ya hayo matokeo ya vipimo? He is such a jackass.

  Nadhani mama ana legal recourse ya kwenda mahakamani na kuomba court ordered paternity test.

  NB: Ni embarrassment na siyo "embalacement".
   
 3. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Mh? :confused:..
  Makubwa...
   
 4. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  achukwe hata nywele za jamaa na za mtoto akapime ila lazima apitie kwa mwanasheria ndio unaenda kwa mkemia mkuu na kila kipimo ni laki so jumla ni laki 2 ila bila kupitia kwa mwanasheria hawezi kupima, kwa uhakika zaidi kuwa na shahidi ndugu wa mume wakati wa kuchukuwa hizo nywele hadi kwenye kipimo ili asiseme umefoji
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kapimia wapi hiyo dn kwa nnchi kama tanzania na mimi nikapime!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,869
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mwanasheria ndiyo ana mamlaka ya kuhalalisha hivyo vipimo?
   
 7. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unapima kwa mkemia mkuu ila lazima upitie kwa mwanasheria ili adhibitishe kama una strong reason ya kupima
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,869
  Trophy Points: 280
  Mwanasheria ndiye mwenye mamlaka ya kuthibitisha?
   
 9. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yapu bila kupitia kwa mwanasheria huwezi kupima na kwa Tanzania hiyo huduma inapatikana kwa mkemia mkuu tu
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  mke akubali tu, hakuna ndoa hapo tena. Hadi kupima DNA
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,869
  Trophy Points: 280
  Mimi nilidhani mahakama ndiyo yenye mamlaka hayo kumbe siyo (kwa mujibu wako). Sielewi mantiki ya mwanasheria kuwa na hayo mamlaka.
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,960
  Likes Received: 2,689
  Trophy Points: 280
  hili swala linatakiwa kwanza liende ustawi wa jamii then jamaa akikomaa linaenda mahakamani then mahakama itahitaji ushahidi wa DNA ili kuthibitisha nani baba wa huyo mtoto,.otherwise ukienda tu kutaka kupima DNA lazima kuwe na reason ambayo ipo supported na ustawi wa jamii au mahakama!!
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,271
  Likes Received: 4,249
  Trophy Points: 280
  jamaa anatafta sababu tu
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Dah lakini kwanini wame complicate namana hii kupima DNA? Hivi huko nje si kuna private labs? hatuwezi kuweka huru huu uchunguzi?
   
 15. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ana lake jambo huyo.
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,949
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Hivi yule msanii DNA yupo wapi siku hiz.
   
Loading...