Msaada kuhusu vifurushi vya mtandao wa TTCL

Mathew A

Member
Jan 9, 2018
57
50
Kama kichwa kinavyojieleza naombeni msaada wa je vifurushi vya TTCL vikoje au vina unafuu upi ukilinganisha na mitandao mingine.

Nataka kurudi nyumbani naskia KUMENOGA
 
Usithubutu boss, hapa nilipo hiyo Internet ya TTCL imekatika toka asubuhi na hawana maelezo ya kuridhisha. Kama unarudi ili kuongeza idadi ya watumiaji ni sawa, lakini kama unahitaji huduma, hiyo TTCL ni weka mbali na watoto.
 
Hao wanakupotosha jamaa wapo vizuri kusema ukweli .... Hii internet ninayo tumia ni yao alafu kwa T pesa yao pia hawana makato yaki puuzi puuzi mi nakushauri uitumie mfano kuna bando la kukesha ni buku tu wanakupa Gb 15 mzee na download movie kama mwehu yan
 
Hukuku kijijini manyoni inakamata?
 
Ingia Zantel mm nmehama TTCL sababu nikisafiri nakosa mtandao sehem kubwa sana...jana nmetoka dar kwenda arusha mtandao wa zantel upo vzr kbs
 
Usithubutu boss, hapa nilipo hiyo Internet ya TTCL imekatika toka asubuhi na hawana maelezo ya kuridhisha. Kama unarudi ili kuongeza idadi ya watumiaji ni sawa, lakini kama unahitaji huduma, hiyo TTCL ni weka mbali na watoto.
NMkuu ukifika ofisini kwao ovyo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom