Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

Guys msiwe mnajibu thread kwa mihemko bila kufanya uhahikiki wa mawazo yenu.
Tazama akaunti yangu sehemu hii ya majibu ya maombi ya kazi.
magistrate.png
 
Naomba tuwe wafatiliaje wa maagizo ya muhimu kuyafanya wakati wa kuomba ajira.
Sekreti ya ajira inatoa muongozo kila tangazo la ajira linapo tangazwa kupitia website yao ya (www.ajira.go.tz).
Hakikisha unadownload TANGAZO LA AJIRA lenye format ya pdf, kisha unasoma ukurasa wa mwishoni mwishoni unakuwa maagizo ya muhimu.
Pia sekreti ya ajira yaani Recruitment Portal wametoa muongozo wa mambo muhimu kupitia sehemu ya HOME PAGE kuna sehemu imetengwa yenye jina Application General Conditions soma hio sehemu utaelewa yote nilio yaongea.
Unaweza ukafungua picha nilio ambatanisha kuona hayo mambo ya muhimu unayo paswa kuyafanya.
Link ni hii
conditions.png
 
View attachment 2127260Mr.. haya mambo ya kucertify vyeti yalikuwepo toka kitambo...?
 
Hapana kwasababu hata mimi nilishawahi kufanya interview bila kucertify mara tatu.
Ila kwasasa ni sheria inatumika kuchuja watu, so its up to you to follow the instructions or getting failed.
 
Lini wameanza hii kitu
Sioni haja ya kuendelea kuuliza lini wameanza ikiwa sisi hatujui na shida ipo kwetu hatuna desturi ya kusoma mabadiriko kwa maagizo ya muombaji kazi. Hii issue ipo kitambo tu sema hakuwa waniitilia mkazo. Ni zaidi ya miaka miwili ilio pita hili agizo lipo kwenye dashboard na linawekwa kwenye kila tangazo la ajira.
 
Hapa mkuu umenichanganya, Naomba kuuliza kwa hiyo wote tunaotuma maombi kwa ajira portal tunatakiwa kupitia TCU kwa ajili ya kuverify vyeti? au kuna mfumo wa TCU wa kuverfy vyeti?
Kama ulisoma nje ya Tanzania ni lazima vyeti vyako vikawe Verified na TCU. Lakini kama wewe umesomea hapa hapa Tz kwa sasa ili uweze apply kazi kupitia Ajira Portal ni lazima uka-Certify vyeti vyako either Mahakamani au kwa Mwanasheria. Ni lazima. Narudia tena ni lazima. Kuna wajuaji wa mambo humu vichwa ngumu. Toa copy vyeti vyako hivo kisha nenda ka-Certify, kisha attach kwenye account yako kwenye Ajira Portal.
 
Zamani I guess

Kama kazi uliyoomba deadline haijafika, jaribu ku-edit taarifa zako, ka-certify vyeti upakie upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani si wanasema editing ya taarifa Binafsi inafanyika mda wote bila kujari kuwa dirisha la maombi ya kazi ulivyoomba liko wazi au lah.. Ila issue ya barua ndo inalimit mda...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom