Msaada kuhusu utaratibu wa kumwachisha kazi Jaji mkuu

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
186
Wataalamu wa sheria tafadhali naomba mnijuze kuhusu utaratibu wa ni jinsi gani Jaji mkuu anaweza kufukuzwa kazi endapo asipotekeleza majukumu yake sawa sawa. Ufahamu wangu ni kwamba Jaji anateuliwa na raisi lakini Raisi hana mamlaka ya kumfukuza kazi. Sasa kwa sheria za hapa Tanzania utaratibu ni upi?
 
Back
Top Bottom