Msaada kuhusu ushuru TRA

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
1,694
2,294
Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena?

Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.

IMG_20210527_101142.jpg

 
Swala ni pesa na sio haya mawazo yako unayoyasema

Kwani ukitaka kununua gari kuna grade kwamba lazima uanze na kama hako ka bebi wolka unakokawaza?
Sawa anza na hyo Rav 4 adventure iko poa Sana..hutojutia pesa yako mzee
 
Back
Top Bottom