Msaada kuhusu umri wa ujauzito (Mimba)

mitindo huru

JF-Expert Member
Apr 26, 2016
1,607
1,596
Habari wadau.
Naenda direct kwenye mada.
Naomba kujua, umri wa ujauzito (mimba) kwa mwanamke unaanza kupimwa baada ya mda gani tangu kufanya tendo la ndoa?
Yani daktari akimpima ujauzito mwanamke vipimo vinaanza kuhesabu tangu mda gani baada ya kufanya tendo la ndoa kati ya mwanaume na mwanamke?
 
Vipimo vya ujauzito UPT vinaanza kusoma ndani ya siku tatu toka fertilization

Asante sana ndugu, gharama ya vipimo ni kiasi gani? Na hospital gani nzuri kufanya vipimo kwa dar es salaam?
 
Umri wa ujauzito kwa uelewa wangu huanza kuhesabiwa tarehe ya kwanza ya kubleed ktk mwezi aliopata mimba, mfano kama ameanza kubleed tarehe 1 mwezi April, halafu let say mkasex tarehe 14 akashika mimba, mtakapokuja kupima baadaye, umri wa ujauzito utaanza kuhesabiwa ile tarehee aliyoanza kubleed, huo ndo uelewa wangu
 
Umekosea mkuu... Kuhusu umri wa mimba huaanza kuhesabiwa kuanzia tarehe ya mwisho ya hedhi(last normal menstrual cycle)kabla ya kupata mimba

Back
Top Bottom