Msaada kuhusu Ultimate Finance

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
900
497
Wakuu naomba kwa mtu yeyote anayefahamu kuhusu hii taasisi ya Ultimate Finance mliki wake ni nani naomba anijuze tafadhali
 
Mmiliki ni jamaa mmoja aliwai kua MD pale kampuni ya Platinum credit limited kama sijakosea wanamuita Elias


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom