Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 199
Habari wandugu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age).
Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa gari ambayo ni mpya au ni miaka ya karibuni inakuwa na kodi kubwa ya uchakavu kuliko gari la zamani.
Mfano escudo ya 2009 lenye specification sawa na la mwaka 2014 kodi ya uchakavu kwa gari la 2014 ni kubwa kuliko la 2009. Naomba kufahamishwa hapa imekaaje.