Msaada kuhusu uhalali wa wakala wa Ajira CV people

Bluewhale

New Member
Feb 26, 2018
2
0
Katika kutafuta kwangu kazi nimekutana sana na matangazo ya hawa watu wanaojiita CVpeople. Naomba msaada kwa anayewafahamu vizuri kuhusu kama huwa wanatoa ajira kweli au ndo uzushi tuu kusumbuana?
 
Mi wali nipigia simu, waka dai wame pitia CV yangu wana penda experience na skills nilizo nazo, wata niunganisha na kampuni xxxx. Bado na subiri!
 
Kiukweli Wapo Vizuri, Ila Angalizo si wao wanaotoa Ajira. Wao ni Link tu Kati ya Wewe mtafuta Ajira na Kampuni inayohitaji mfanyakazi. Wanapewa Sifa na Vigezo vya mtu anayetakiwa. So hawawezi tu wakakuchukua kwa vile tu Umetuma CV. Ukikidhi Vigezo wanakuunganisha na mteja wao.
 
Umenipa hopes ngoja ni subiri manake simu walinipigia wao.
 
Back
Top Bottom