Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Heshima kwenu wana JF humu ndani.

Nina tatizo la ugojwa wa UTANGO UTANGO ambao umekomaa sana mwilini saivi umefika mgongoni umetapakaa hatari hili tatizo lilianza kidogo kidogo saivi limeshakomaa mgongo na kufuani hakutamaniki ukiona.

Naombeni ushauli dawa nzuli ya kuponesha mautango tango mwilini.
 
Nimekuwa nasumbuliwa na mba kwa mda sasa nimeshaonana na daktari specialist Wa ngozi na kunipa matibabu. Yapata miezi 5 sasa sioni uhafadhari zaidi naona mba zinazidi ongezeka mwilini mwangu. Dr. alinipa vidonge nimeze wiki nikameza lkn wapi mambo yalikuwa vile vile nikarudi hospital akanipa dawa tena kutumia mwezi mzma lkn hali ikazidi tu kuwa mbaya.

Nimejaribu dawa za kienyeji mfano mafuta ya nyonyo nilishauriwa nazo nimetumia bila mafanikio.
Naomba ushauri Tafadhari hali hii inanikera sana usafi nazingatia sana lkn wapi tatzo linazidi kuwa kubwa.
 
Karibu mkuu.
Samahani uzi huu ulipaswa uweke kwenye jukwaa la doctors hapo ungepata majibu vizuri.
Karibu tena mkuu
 
Mimi pia wananisumbua kichwani najikuna sana
Nimesumbuliwa na MBA muda mrefu nimeenda Kwa Dr WA ngozi( specialist) kanipa dawa ulifika hatua Hadi vidonda kichwani nimesoma huu Uzi wote lakini nikachukua point ya kwenda kumwona daktari na ndio nimefanya Nina siku ya pili vidonda vimepona Kwa asilimia kubwa na mwasho umeanza kuisha. Dawa alizonipa
Azuma 1*1 Kwa siku tatu
Vidonge vya allergy 1*1 vidonge 5 nitaatach picha
Dawa ya tube ya kupaka matumizi unachanganya na Mafuta ya nazi.
Nina dread zijazikata napaka kwenye ngozi

IMG_20220323_212213.jpg


IMG_20220323_212213.jpg


IMG_20220323_212257.jpg


IMG_20220323_212257.jpg
 
Dawa yake nini haya madude kichwani? Maana vinamtokea mpaka karibu na masikio na pia ana vipele vingi tumboni na kiuoni

Tulienda hos aka andikiwa LYCORT hii ni ya mwilini na KETACOR Au KETACONAZOLE ya kichwani, alichomwa sindano na vidonge ila ametumia now dose zinaisha ila hakuna mabadiriko vinaonesha kama vipele vinaisha upande mmoja tu tumboni ila vinarudi tena..

Msaada..
(Kwenye picha ni mfano wa ugonjwa wenyewe)
images (1).jpeg
images.jpeg
download (4).jpeg
 
Back
Top Bottom