Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

kivato

Member
Nov 20, 2010
18
2
vitiligo_child_dark_skin.jpg

Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau kuhusu ugonjwa huu
Wataalamu poleni na majukumu ya kuhudumia afya zetu,

Mimi nina tatizo la ugonjwa wa Vitiligo, lips ya chini imebadilika colour na nyekundu kama nakunywa pombe kali, na kichwani nimetokewa alama nyeupe kama kishilingi, na shingoni nina alama ya mba na usoni nina kidoti cheupe

Naomba msaada wenu wataalamu.

Asanteni kwa kutusaidia kupitia forum hii.
---
Habari wanajukwa,

Kama nilivyoeleza hapo juu, Naomba msaada waushauri wa kitaalamu either wa tiba za asili au za kisasa juu ya tatizo la vitiglo kwa ambao wamesha experience na kujua japo ata kwa kuuthibiti usisambae zaidi au kupunguza.

Natanguliza shukrani

Fahamu zaidi kuhusu tatizo la vitiligo
Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi ambao unasababisha ngozi kuwa na mabaka mabaka meupe kwa sababu ya kupoteza melanin. Vitiligo inaathiri watu wa rangi yoyote ya ngozi japo kwa watu wengine huwa inaonekana zaidi kutokana na rangi yake ilivyo sanasana kwa watu wenye ngozi nyeusi. Pia inatokea katika umri wowote mara nyingi katika umri chini ya miaka 40.

Dalili zake ni zipi
Mgojwa wa vitiigo hapati dalili zozote bali mfano maumivu, kuwashwa au homa bali mwenye vitiligo huanza kuona mabaka meupe au madoa yakijitokeza katika ngozi yake

Nini Chanzo cha ugonjwa wa vitiligo?
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ngozi katika Hospitali ya Rufaa Temeke, Claud Mango, anasema ugonjwa huo ambao pia huitwa leukoderma husababishwa na ukosefu wa chembe zinazotokeza rangi ya ngozi.

“Rangi ya ngozi ya kawaida huwa inatengenezwa na chembechembe zinazojulikana kama ‘melanocyte’ ambazo mtu anazaliwa nazo, hivyo ukizikosa ngozi inapoteza rangi yake.

“Sababu zingine ni za urithi lakini maana hasa ya ugonjwa huu ni kwamba wale askari waliokabidhiwa mwili waulinde wanakuwa hawalindi badala yake wanautafuna,” anasema Dk. Mango.

Anasema ugonjwa huo hauna dalili yoyote, hausababishi maumivu na wala hauambukizwi bali mtu huanza kuona madoa na mabaka meupe kwenye ngozi.

“Ugonjwa huu hautabiriki, leo unaweza kuja na mabaka machache lakini kesho vikasambaa, unaweza kuwa nab aka upande mmoja, pande mbili au pembezoni. Mara nyingi huwa unapendelea sana kushambulia kwenye viungo kuliko sehemu zingine za mwili,” anasema.

Dk. Mango anasema pia yako baadhi ya magonjwa ambayo yana uhusiano na ugonjwa wa vitiligo na kwamba mtu mwenye moja ya magonjwa hayo akipata vitiligo huwa haishangazi sana.

Anayataja magonjwa hayo kuwa ni goita, upungufu wa damu, watu wenye vipara na pumu ya ngozi.

“Mfano ukiwa na ugonjwa wa pumu ya ngozi unaweza kukufanya upate vitiligo, ngozi inakuwa na vipele vinavyowashwa mfululizo na unawapata watu ambao kwenye koo zao kuna pumu,” anasema.

Vitiligo ni tatizo ambalo linatokana na kupungua au kupotea kwa chembechembe zinazoipa ngozi rangi yake zijulikanazo kama melanin.

Kwa nini chembechembe hizo hupotea au kupungua?
Hutokea kama seli zinazohusika na kuzalisha melanin zikifa au zikipungukiwa na ufanisi wa kufanya kazi. Melanin zinahusika na kuwezesha nywele, ngozi na macho kuwa na rangi yake.

kwa nini hizo seli zinafeli kuzalisha melanin
Sababu za moja kwa moja hazijulikani ila kuna mambo ambayo yanasemekana kuwa yanachangia kupata tatizo la vitiligo nayo ni kama yafuatayo;

Madhara gani mtu mwenye vitiligo atapata?
  • Athari kisaikolojia kutokana na kufikiria namna gani watu wanaomzunguka wanavyomchukulia
  • Hatari ya kuathiriwa na jua inaongezeka kiasi kwamba hatari ya kupata hata kansa za ngozi inaongezeka
  • Pia hatari ya kupata matatizo ya macho inaongezeka
Matibabu ya vitiligo ni yapi?
Matibabu hutegemea na makubaliano ya mtu mwenye tatizo na daktari wake.
  • Dawa za kupakaa ili kusaidia kusaidia uzalishaji wa melanin
  • Kuchora tattoo ili kuzuia kuonekana kwa sehemu zilizoathiriwa (skin camouflage)
  • Kupunguza melanin maeneo ambayo hayajaathiriwa ili kuleta ufanano na sehemu zilizoathiriwa (depigmentation)
  • Upasuaji pia hufanyika (skin grafting)
  • Ukiwa na tatizo hili ni vizuri kumuona mtaalamu wa magonjwa ya ngozi (Dermatologist) ili uweze kusaidiwa pia ukiona dalili za tatizo hili inashauriwa kujilinda na jua na kutochora tattoo ambazo haujashauriwa na mtaalam wa magonjwa ya ngozi.

Baadhi ya maoni na ushauri uliotolewa na Wadau wa Jf
Pole sana mkuu,

Sitaki kukukatisha tamaa ya kupona lakini ukweli ni kuwa vitiligo, (mabaka meupe mno) haitibiki. Ni miongoni mwa magonjwa ya auto immune, yaani kinga ya mwili inashambulia cells zinazoitwa melanocyte ambazo ndio zinazotengeneza rangi nyeusi tuliyonayo.

Shida hii ni kasoro ya kuzaliwa na inafata ukoo japo si kila mtu katika ukoo aweza pata. Shida hii inawapata watu wa rangi zote.

Na ajabu ni kuwa pamoja na kuwa wazungu ni weupe but akiwa na vitiligo huwa inaonekana wazi (very conspicious) Dawa nyingi zimejaribiwa but hakuna iliyoibuka tiba.

Baadhi ya watu wakitumia prednisolone au hydrocortisone ya kupaka waweza pata nafuu but ni baada ya muda mrefu.

Tiba ya uhakika ni kuikubali hali hiyo, na kuipuuza kwa sababu haiumi, wala haiwashi. Otherwise nimeona watu wakipoteza fedha nyingi na hawakupona.

Kama unaishi karibu na hospitali kubwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando au Mbeya waweza pata ushauri wa Dermatologist.
---
VITILIGO NI NINI? DALILI, CHANZO NA MATIBABU.
Ugonjwa wa vitiligo, ambao pia huitwa leukoderma, husababishwa pale chembe hai zinazotengeneza melanin zinapokufa au kuacha kufanya kazi. Hilo husababisha madoa na mabaka meupe kwenye ngozi. Huathiri watu wote japo hali hii huonekana kwa haraka zaidi kwa watu weusi.

Ugonjwa huo hausababishi maumivu wala hauambukizwi. Ugonjwa huu si hatari au kutishia uhai japo husababisha msongo wa mawazo na mtu kujihisi vibaya au kujiona ana upungufu.

Hata hivyo, matibabu ya ugonjwa wa vitiligo huimarisha muonekano wa ngozi kuwa mzuri japo. Ugonjwa halisi hauwezi kupona na kutoweka.

Dalili za Vitiligo
Mojawapo ni kupotea kwa rangi halisi na kuota mabaka kwenye ngozi. Tatizo huanzia kujitokeza kwenye sehemu za mwili zinazopigwa na jua zaidi kama mikono, miguu, viganja, uso na midomo hasa ‘lipsi’.

Dalili zake ni ngozi kupoteza rangi halisi, kuwa na weupe au rangi ya kijivu (gray) sehemu ya ngozi ya kichwa, kope za macho au nyusi. Kupotea kwa rangi ya ngozi ya sehemu ya ndani ya mdomo au pua. Kubadlika kwa rangi ndani ya jicho. Pia kuwa na mabaka makwapani, kitovuni na sehemu za siri.

Vitiligo huanza katika umri wowote lakini mara nyingi ugonjwa huonekana kabla ya kufika miaka 20. Sehemu moja au chache za mwili ya vitiligo aina hii hutokea eneo moja tu la mwili. Hata hivyo, ni vigumu kujua kiwango cha kusambaa kwa hali ya kupoteza rangi ya ngozi. Wakati mwingine mabaka huweza kupona bila hata ya kutumia dawa au matibabu yoyote.

Aidha mara nyingi hali ya kupoteza rangi huendelea na husambaa maeneo zaidi ya mwili na mara chache sana ngozi hurejea katika hali ya awali.

Chanzo
Ugonjwa wa vitiligo hutokea pale chembe hai zinazozalisha melanin zinapokufa au kuacha kufanya kazi. Melanini huipa ngozi, nywele na macho rangi yake ya asili. Madaktari hawajaweza kufahamu sababu ya kufa au kushindwa kufanya kazi kwa chembe hai hizi lakini hali hii huweza kuhusishwa na mfumo wa kinga ya mwili kushambulia na kuharibu kimakosa chembe hai hizi ambazo huzalisha melanin.

Matatizo ya vitiligo
Watu wenye ugonjwa huu huwa katika hatari kubwa ya kushambuliwa na matatatizo ya kisaikolojia na msongo wa mawazo.
Huhisi kuungua zaidi na jua pamoja na saratani ya ngozi. Wana matatizio ya macho. Kadhalika kushindwa kusikia kikamilifu.
Pia hupata madhara yaletwayo na utumiaji wa madawa ya kutibu ugonjwa huu kama kukauka sana kwa ngozi pamoja na muwasho.

Matibabu
Yapo matibabu ya aina nyingi na ambayo husaidia katika kurejesha rangi ya awali ya pamoja na ubora wa ngozi japo matokeo ya matibabu hayo hutofautiana na ni vigumu kutabiri ufanisi. Badhi ya matibabu huweza kuwa na madhara makubwa kwa hiyo daktari wako huanza kwa kukushauri utumie dawa nyepesi za kujaribu kuboresha muonekano wa ngozi kama ‘make-up’.

Iwapo mgonjwa na daktari watakubaliana kuanza matibabu makubwa ya madawa basi uponyaji huweza kutumia miezi kadhaa kuonekana na wakati mwingine kutumia aiana nyingi za matibabu.

CRYSTAL CELL NA TRIPLE 3-MIRACLE INTENSE ESSENCE ni dawa zinazoweza kusaidia kuzuia vitiligo kuendelea kutokea yaani kupoteza kwa chembe zinazosababisha rangi halisi ya ngozi. Pia, huweza kuboresha muonekano wa ngozi ukawa mzuri.
kwa mawasiliano zaidi ya whatapp 0682315816.

Mgonjwa anapaswa kumwona daktari mara tu unapoona hali ya kupoteza rangi ya ngozi, nywele au macho. Ugonjwa wa vitiligo hauna tiba ila ukiwahi husaidia kuzuia au kupunguza hali ya ngozi kuharibiwa.
---
Matibabu hutegemea na makubaliano ya mtu mwenye tatizo na daktari wake.

1. Dawa za kupakaa ili kusaidia kusaidia uzalishaji wa melanin.

2. Kuchora tattoo ili kuzuia kuonekana kwa sehemu zilizoathiriwa (skin camouflage).

3. Kupunguza melanin maeneo ambayo hayajaathiriwa ili kuleta ufanano na sehemu zilizoathiriwa (depigmentation).

4. Upasuaji pia hufanyika (skin grafting). Ukiwa na tatizo hili ni vizuri kumuona mtaalamu wa magonjwa ya ngozi (Dermatologist) ili uweze kusaidiwa pia ukiona dalili za tatizo hili inashauriwa kujilinda na jua na kutochora tattoo ambazo haujashauriwa na mtaalam wa magonjwa ya ngozi.

Pia soma
- Leleti Khumalo (Sarafina) Star anayeishi na gonjwa linalowasumbua wengi lisilo na tiba(Vitiligo)
 
Pole sana mkuu,

Sitaki kukukatisha tamaa ya kupona lakini ukweli ni kuwa vitiligo, (mabaka meupe mno) haitibiki. Ni miongoni mwa magonjwa ya auto immune, yaani kinga ya mwili inashambulia cells zinazoitwa melanocyte ambazo ndio zinazotengeneza rangi nyeusi tuliyonayo.

Shida hii ni kasoro ya kuzaliwa na inafata ukoo japo si kila mtu katika ukoo aweza pata. Shida hii inawapata watu wa rangi zote.

Na ajabu ni kuwa pamoja na kuwa wazungu ni weupe but akiwa na vitiligo huwa inaonekana wazi (very conspicious) Dawa nyingi zimejaribiwa but hakuna iliyoibuka tiba.

Baadhi ya watu wakitumia prednisolone au hydrocortisone ya kupaka waweza pata nafuu but ni baada ya muda mrefu.

Tiba ya uhakika ni kuikubali hali hiyo, na kuipuuza kwa sababu haiumi, wala haiwashi. Otherwise nimeona watu wakipoteza fedha nyingi na hawakupona.

Kama unaishi karibu na hospitali kubwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando au Mbeya waweza pata ushauri wa Dermatologist.
 
Ni-pm nikupe namba ya rafiki yangu mmoja alikuwa na ugonjwa huu lakini akapata nafuu.
 
Kwa sasa hakuna tiba ya vitiligo. Hata
Michael Jackson alikuwa na huo ugonjwa, alikuwa anauficha na gloves, na ndio ulisababisha aanze kujichubua kusawazisha rangi iwe moja.
huyu mwanahabari wa marekani anafanya kupaka make up nyeusi ili kuficha sehemu zilizopoteza rangi.

vitiligo-suffering+fox+reporter+Lee+Thomas+picture%5B5%5D
 
Tumaini muwazima.

Naomba Msaada. Nina tatizo la ngozi kwa muda mrefu sana wa miezi mitatu. Nimekuwa napata alama nyeupe kwenye mwili wangu na tatizo hili liko sana mgongoni na mikononi.

Nimeenda kwa madaktari wa ngozi tofauti. Nimeende Regency na ARR wote wameniambia ni Vitiligo na wakasema Haina dawa.

Je kuna uwezekano wa kuweza kupata huduma ya matibabu ya hili linalonisumbua. Nitashukuru kwa msaada.
 
Hakuna dawa halis lakin kuna supplements za kuweza kuongeza activity ya melanocyte kutengeneza ngoz nyeus.lakin gharama yake ni kubwa.ukiwa interested ni pm.
 
HOW DO I TREAT VITILIGO USING HERBS?

Vitiligo is a condition in which the skin loses pigment, thereby resulting in large white patches that expand over time. The condition is more noticeable in people with darker skin, and although it is not a serious health problem, it can be stressful and affect your self-confidence. There is no cure for vitiligo; treatment revolves around slowing its spread and helping the skin return some of the lost pigment. Some herbs and supplements may be helpful in your treatment, however, you should first consult your doctor.

Step 1


Visit a traditional Chinese herbalist who may offer psoralen, which is a chemical compound derived from herbs that may help make rejuvenate the affected skin with the application of UV light.




Step 2

Take ginkgo biloba, a tree leaf that has been used for centuries to treat circulatory problems and enhance memory. Ginkgo may be helpful in restoring pigmentation to skin affected by vitiligo. According to Mayo Clinic, ginkgo biloba showed some success in a small study, but sufficient evidence is lacking at this time. You should consult your doctor first before using it.

Step 3


Ask your doctor about using phenylalanine, an essential fatty acid that may help improve the effectiveness of UVA radiation for people with vitiligo. According to the University of Maryland Medical Center, preliminary studies have found that oral and topical administrations of phenylalanine showed some effectiveness in restoring pigmentation, but more research is still needed.


Vitiligo Herb was developed several decades ago and ever since it has proficiently helped thousands of

vitiligo victims in a thriving and productive manner. Furthermore, with the passage of time this product has

become even more effective and result oriented by means of continuous research work and the feedback retrieved from the people suffering with Vitiligo.

Consequently, Vitiligo Herb is a formulation that is an outcome of years and years of experimentation and

continuous upgrading that arrogantly holds the confidence of its huge number of beneficiaries. Nevertheless, we have also put this product to latest laboratory testing and clinical trials that has auxiliary supported our stance and lavish experience that it works in re-pigmentation of skin.

Vitiligo Herb is tested and certified by PCSIR against the claim of pure herbal ingredients and any harm or side effects to human skin.

There is a lot to tell about the features of Vitiligo Herb but we would appraise our product in following turn of phrases:




    • Pure Herbal/Natural Treatment for Vitiligo/Leucoderma.
    • Guaranteed fast results with permanent re-pigmentation.
    • National laboratory certified product tested against the claim of 100% Herbal Ingredients and any side effects to human skin.
    • No irritation and no side effects guaranteed.
    • Easy topical treatment.
Instructions for use

Vitiligo Herb is simple to use topical application. Please follow below instructions for use:

Wash affected areas of your skin with plain water and dry it with towel. Apply Vitiligo Herb softly on affected area and massage till fully absorbed. It should remain on your skin for at least 8-10 hours.

If you have to wash application before 8 hours for any reason, you should re-apply oil for remaining period. For convenient application, use Vitiligo Herb before going to bed in the same hour of every night.

Vitiligo Herbs goes thick in winter below 15C temperature. In such case, place the bottle in warm water for some time and it will be back to normal form.
Shake well before use.

Ingredients

Vitiligo Herb is pure herbal product and we use finest herbs in the production. Following are few herbs used in Vitiligo Herb.

1- Coconut oil

2- Babchi

3- Black cumin

4- Barberry Root

1 -Coconut oil
Coconut oil is excellent massage oil for the skin as well. It acts as an effective moisturizer on all types of skins including dry skin. The benefit of coconut oil on the skin is comparable to that of mineral oil. Further,

unlike mineral oil, there is no chance of having any adverse side effects on the skin with the application of coconut oil. Coconut oil therefore is a safe solution for preventing dryness and flaking of skin. It also delays

wrinkles, and sagging of skin, which normally become prominent with age. Coconut oil also helps in treating various skin problems including psoriasis, dermatitis, eczema and other skin infections. Therefore coconut oil forms the basic ingredient of various body care products such as soaps, lotions, creams, etc. used for skin care.

Coconut oil will absorb easily, keep the skin soft, and yet without feeling greasy. It is not like other oils used to soften rough, dry skin. It will help to reduce chronic skin inflammation within days and be soothing and healing to wounds, blood blisters and rashes.

Coconut oil helps in preventing premature aging and degenerative diseases due to its antioxidant properties. Coconut oil is often preferred by athletes and body builders and by those who are dieting. The reason behind

this being that coconut oil contains lesser calories than other oils, its fat content is easily converted into energy and it does not lead to accumulation of fat in the heart and arteries. Coconut oil helps in boosting energy and endurance, and enhances the performance of athletes.

2- Babchi

Scientific Name: Psoralea Corylifolia
Babchi is an herb, which is known for its medicinal properties. It is widely and commonly used in treating many diseases by many streams of ancient medicine such as Ayurveda. Homeopathy and Unani medicine.

The botanical name for this particular plant is Psoralea Corylifolia. It is also known by many other names colloquially, depending upon the area where you would find it. In some places it is known as bakuchi and

bakhni. The most amazing thing about this plant is that every part of it is useful. Roots, stems, leaves, seeds and whatever blooms it has, all used to treat a variety of skin problems.

For most part, all the various parts of the plant and powdered and used to mix with other medicines to create complete treatments for skin diseases such as Leucoderma, skin rashes, infections. The plant grown wild in many tropical countries and is not difficult to cultivate either. It is also considered useful by ayurveda in the cure and care of skin cancer.

Scientifically untested yet by modern methods. It is widely believed that babchi had various other health benefits for skin that are undiscovered and unexplored. But natural sciences such as the ones mentioned above swear by its therapeutic properties.

3- Black cumin

Scientific Name: Nigella Sativa

Black cumin seeds have been used for centuries in the Middle East, Mediterranean, and India to treat a variety of ailments, and have been adopted for homeopathic use in Europe and other nations as well. Both the

seeds and potent extracts can be found for sale in natural food stores, and doctors who practice complementary alternative medicine may prescribe then for a wide variety of conditions. The unique nutritional composition of black cumin seeds, which includes numerous essential fatty acids, appears to support the

immune system, improve the skin, help with respiratory ailments, and address digestive conditions.
Nigella sativa is the scientific name for the plant on which black cumin seeds grow, and it is a member of the buttercup family. Black cumin seeds are very dark, thin, and crescent shaped when whole. They are available

for cooking use in many Middle Eastern and Indian supply stores, but seeds designated for cooking may not be as potent or as pure as seeds intended for medicinal use. In some regional cuisines, they are also used in cooking, as they add a unique nutty flavor to food and appear to have health benefits.

When ingested, black cumin seeds and extracts can be used for a number of conditions. They have been used for centuries to address digestive problems including stomach pain and flatulence. Black cumin seeds also have a long history in the natural treatment of asthma and other respiratory conditions. Compounds from the seeds appear to have antimicrobial properties, and are sometimes used to treat urinary tract infections.

Oil from black cumin seeds can be used topically to treat dry skin, eczema, and other skin issues. In addition, black cumin seeds are sometimes used in beauty regimens to strengthen hair and nails, as well as making them glossier.

In 1996, the United States Food and Drug Administration approved the use of a medicine incorporating an extract of black cumin seeds for immune system support. Several studies had shown that this extract could assist individuals with autoimmune disorders, and could possibly help to fight cancer as well. Naturopaths

sometimes recommend regular doses of black cumin seeds to patients with weakened immune systems, as the whole seeds have been shown to boost the immune system. Pharmacological studies on compounds from the seeds show that they boost the production of bone marrow, natural interferon, and immune cells, helping to fight off diseases.

4- Barberry Root

Scientific Name: Berberis Vulgaris, Berberidaceae Family

Barberry is rich natural source of berberine. Berberine is bright yellow and somewhat bitter, and has long been used in traditional medicine for its anti-inflammatory and anti-microbial effects. This well known

antiseptic photochemical, also found in goldenseal and Oregon grape, is used to treat a wide range of infections, ears, eyes, mouth, throat, staph and strep bacteria, each of which can commonly cause bacterial pinkeye.

Other common infections that can effectively be treated by barberry include yeast and bladder infections, and skin disorders, especially those like psoriasis that can benefit from a liver tonic.

Barberry has been used in traditional herbal medicine since early Egyptian times, when it was combined with fennel seed to prevent plague and treat fevers. These traditional herbal uses for inflammation and fever confirm

historically what science has now established in the laboratory: Compounds in these plants inhibit the COX-2 enzyme. Berberine-containing herbs thus offer significant medical benefits across the spectrum of diseases.
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu. But ningependa ni wapi kwa Dar es Salaam naweza pata hiyo huduma na gharama zake.

Asante
 
Nina ndugu yangu amesumbuliwa na ugonjwa huu kwa miaka 20, ameshahangaika sana na madawa mengi ila hajapata kupona. yeye umempata mwili mzima na kadiri anavokua na ugonjwa unazidi kumuathiri yaani ni masikitiko. Pole sana.
 
Pole ndugu yangu. Usimsahau Yesu daktari bingwa aliyepo dunia nzima.
Sarakasi zako zinapoishia ye ndo atakapoanzia.
Kwa hiyo mueleze tatizo lako na dozi yake ni ya papo kwa hapo.
Nimeona wengi wakiponywa nae zaidi ya huo ugonjwa unaokusumbua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hekimatale nashukuru sanaa ndugu yangu. Ni yesu ni mganga Mkuu. Na yeye ni mponyaji
 
Tumaini muwazima.
Naomba Msaada. Nina tatizo la ngozi kwa muda mrefu sana wa miezi mitatu. Nimekuwa napata alama nyeupe kwenye mwili wangu na tatizo hili liko sana mgongoni na mikononi. Nimeenda kwa madaktari wa ngozi tofauti. Nimeende Regency na ARR wote wameniambia ni Vitiligo na wakasema Haina dawa.
Je kuna uwezekano wa kuweza kupata huduma ya matibabu ya hili linalonisumbua. Nitashukuru kwa msaada.

Zako zimetokea sehemu gani?
vitiligo1.jpg


167883d1282807360-ibrahim-saracoglu-vitiligo-1-.jpg




butterfly-facial-rash.jpg
 
Dawa ya hayo magojwa ni kujipaka vitunguu swaumu. nilisha tibu watu zaidi ya 10. wenyemagonjwa zaidi ya muonekano wa hizo picha. tafuta kitabu cha Tulejee Edeni kwakuwa mboga na matunda ni dawa, kinachotolewa na kanisa la S.D.A Church (SABATO)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom