msaada kuhusu toyota caldina

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Wakuu habari za mapumziko. Naomba anayejua toyota caldina anisaidie juu ya ulaji wake wa mafuta. ni ya mwaka 1998, odo 183,000, cc 1760, engine 7A - FE. nimejaribu kuperuzi humu jamvini naona haijawahi kujadiliwa. Nisaidieni nataka niivute.
 
Siushasema ina 1760cc huo ndo ulaji wake wa mafuta kwaiyo ulaji wake ni wakawaida tu nunua.
 
caldina ni nzuri. sema kwa hiyo ulioichagua, naona kama mileage imekwenda sana ila nakushauri uichukue. ulaji wake wa mafuta hautofautiani sana na raum. all the best mkuu
 
wakuu samahanini kwa kuingilia hapa,naomba estimation ya tax kwa toyota noah ya 1998 yenye cif 3600 from japani kwa ile systeam ya TRA.shukrani!
 
Wakuu habari za mapumziko. Naomba anayejua toyota caldina anisaidie juu ya ulaji wake wa mafuta. ni ya mwaka 1998, odo 183,000, cc 1760, engine 7A - FE. nimejaribu kuperuzi humu jamvini naona haijawahi kujadiliwa. Nisaidieni nataka niivute.
Nikiangalia milage..hiyo gari imetumika sana, kizingatia tena ni gari ndogo. Tafuta gari ya milage chini ya 100,000
 
wakuu samahanini kwa kuingilia hapa,naomba estimation ya tax kwa toyota noah ya 1998 yenye cif 3600 from japani kwa ile systeam ya TRA.shukrani!
<br />
<br />
itakuwa around dola 3,098. But nenda ktk website ya tra, angalia retail price yake kwa sasa, chukua hiyo figure iuweke kwenye fomula yao itakupa kodi. Then angalia ipi kubwa kati ya 3,098 na figure ya tra. You will pay the higher
 
Nikiangalia milage..hiyo gari imetumika sana, kizingatia tena ni gari ndogo. Tafuta gari ya milage chini ya 100,000
<br />
<br />
Ni kweli mkuu but concern yangu ni fuel consumpition. Inaweza kwenda km 15/litre?
 
Pamoja mail zake ulizotoa,Hakika ninavyoifahamu gari nikiwa km fundi wa gear box na full engen ni kwamba lt 1 itaenda kilometre 10 kwa lita moja ikiwa ktk speed 80 ya mwendo na ujue ndiyo magari yanayoonekana ni mapya hapa Tanzania ye2. Chukua gari Commander wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom