Nikiangalia milage..hiyo gari imetumika sana, kizingatia tena ni gari ndogo. Tafuta gari ya milage chini ya 100,000Wakuu habari za mapumziko. Naomba anayejua toyota caldina anisaidie juu ya ulaji wake wa mafuta. ni ya mwaka 1998, odo 183,000, cc 1760, engine 7A - FE. nimejaribu kuperuzi humu jamvini naona haijawahi kujadiliwa. Nisaidieni nataka niivute.
<br />wakuu samahanini kwa kuingilia hapa,naomba estimation ya tax kwa toyota noah ya 1998 yenye cif 3600 from japani kwa ile systeam ya TRA.shukrani!
Ni kweli mkuu but concern yangu ni fuel consumpition. Inaweza kwenda km 15/litre?