Msaada kuhusu tatizo la masikio

D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,092
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,092 2,000
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo kwa zaidi ya mwaka wa 10 nikilichukulia poa tu. masikio yangu sigusishi maji kabisa, ikitokea kwa bahati mbaya hasa kwenye wakati wa kuoga maji ya kugusagusa kwa ndani basi kinachofata hapo ni maumivu kwa siku nzima japo kua hua simakubwa. Je hili nikawaida au ni tatizo? Kwa kifupi naishi mbali na maji karibu na sikio.
Na pia sewezi eka headset and headphone kwenye sikio langu kwani dakika moja tu itanitosheleza kuleta maumivu ya masikio kwa masaa na muda mwengine yakiambatana na maumivu ya kichwa. Ila kila nikitizama wenzangu wanajifanyia vizuri tu. Hata simu nikizungumza kwa muda mrefu kiodogo tu au simu ikiawa na sauti kubwa basi matokezeo ndio hayo hayo.

Je hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa? na kama ugonjwa naomba msaada wakuu.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,634
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,634 2,000
Huo ni ugonjwa mkuu na sio kawaida kabisa
Inawezekana ni nta iliyojengeka kwa mda mrefu kwenye masikio
Kwa ushauri jaribu kuchukua olive oil na uweke kwenye masikio kama matane matatu kila sikio kwa muda wa wiki 2 na ukiwa unaoga weka pamba ili maji yasiingie
Olive oil husaidia sana kusafisha na ni dawa wala haina madhara yeyote zaidi ya faida
 
T

thx

Member
Joined
May 18, 2016
Messages
12
Points
45
T

thx

Member
Joined May 18, 2016
12 45
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo kwa zaidi ya mwaka wa 10 nikilichukulia poa tu. masikio yangu sigusishi maji kabisa, ikitokea kwa bahati mbaya hasa kwenye wakati wa kuoga maji ya kugusagusa kwa ndani basi kinachofata hapo ni maumivu kwa siku nzima japo kua hua simakubwa. Je hili nikawaida au ni tatizo? Kwa kifupi naishi mbali na maji karibu na sikio.
Na pia sewezi eka headset and headphone kwenye sikio langu kwani dakika moja tu itanitosheleza kuleta maumivu ya masikio kwa masaa na muda mwengine yakiambatana na maumivu ya kichwa. Ila kila nikitizama wenzangu wanajifanyia vizuri tu. Hata simu nikizungumza kwa muda mrefu kiodogo tu au simu ikiawa na sauti kubwa basi matokezeo ndio hayo hayo.

Je hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa? na kama ugonjwa naomba msaada wakuu.
Tumia kirutubisho kiitwacho CEREBRAIN au njoo PM kwa maelezo zaidi.
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,607
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,607 2,000
Nenda kwa wataalamu wa hayo makitu (maskio, pua na koo), shida kwako iko ndani, si ya kutumia madawa ya kienyeji labda tu Mungu afanye yake kupitia hayo madawa.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
20,915
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
20,915 2,000
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo kwa zaidi ya mwaka wa 10 nikilichukulia poa tu. masikio yangu sigusishi maji kabisa, ikitokea kwa bahati mbaya hasa kwenye wakati wa kuoga maji ya kugusagusa kwa ndani basi kinachofata hapo ni maumivu kwa siku nzima japo kua hua simakubwa. Je hili nikawaida au ni tatizo? Kwa kifupi naishi mbali na maji karibu na sikio.
Na pia sewezi eka headset and headphone kwenye sikio langu kwani dakika moja tu itanitosheleza kuleta maumivu ya masikio kwa masaa na muda mwengine yakiambatana na maumivu ya kichwa. Ila kila nikitizama wenzangu wanajifanyia vizuri tu. Hata simu nikizungumza kwa muda mrefu kiodogo tu au simu ikiawa na sauti kubwa basi matokezeo ndio hayo hayo.

Je hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa? na kama ugonjwa naomba msaada wakuu.
Pole sana mkuu, Mungu akufanyie wepesi uweze epukana na dhahma hii.....
Lakini...... Haujawahi kunyonywa ama kutiliwa ndimi kwenye masikio wakati wa faragha..!!??
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,092
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,092 2,000
Pole sana mkuu, Mungu akufanyie wepesi uweze epukana na dhahma hii.....
Lakini...... Haujawahi kunyonywa ama kutiliwa ndimi kwenye masikio wakati wa faragha..!!??
Dah umenichekesha mkuu, Imeshanitokezea na pia ndo hupata maumivu baada ya hapo japo hua simakubwa.
 
R

robotics

Senior Member
Joined
Sep 30, 2017
Messages
172
Points
250
R

robotics

Senior Member
Joined Sep 30, 2017
172 250
Onana na specialist wa Ear Nose and Throat
YAAN TANGU NIKUJUE HUJAWAH KUONGEA PUMBA ASEE.MKUU MSIKIZE SKY ECLAT.HATA MM NILIUMWA NA MASIKIO HAAD NILINYOOSHA MIKONO JUU KWA SAUTI YA CHRISTIAN BELLA.NAIL ZUNGUKA SANA HAAD NKAAMUA SIKU 1 KUGOMBANA NA MADAKTARI WA KAIRUKI BAAS WAKANIRUHUSU NIKAWAONE ENT GHOROMA LA JUU ASEE NISEME NILICHOKIONA SIRI YANGU NA UBAYA DAWA DR ANAKUWEKEA ANAIFICHA UNARUDI HIVOHIVO SASA NENDA MADUKANI HIYO DAWA HAIPO DADEEEEK NKASEMA NDIYONDIYO NGOJEA NIRESEAT HAPA PCB NDO NINAMALIZIA PAPER MKUU.
 
Forum statistics

Threads 1,295,910
Members 498,475
Posts 31,227,777
Top