Msaada kuhusu tatizo hili katika app ya whatsap

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,294
Tatizo hili husabaishwa na nini na lipi suluhisho lake ?
 

Attachments

  • Screenshot_20190217-100155.png
    Screenshot_20190217-100155.png
    3.2 KB · Views: 24
.Huenda ni tatizo la memory ya simu yako. Check RAM kama inatosha. Clear cache memory kwa kuingia settings, storage clear cache. Restart simu jaribu tena Kama tatizo linaendelea ondoa whatsapp kwenye simu download na kuinstall upya.
 
Back
Top Bottom