Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu taratibu na kanuni za kuanzisha maabara au dispensary ya binafsi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kig, Oct 17, 2012.

 1. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,044
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Poleni kwa majukumu ya kila siku wadau wote wa jamiiforums. Naamini ndani ya jukwaa la ujasiriamali ktk sekta ya afya, na pia kuna watalaamu na wenye uzoefu kwa namna moja au nyingine katika masuala ya kutoa huduma za afya na shughuli zinazoendana na afya ya binadamu. Kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha maabara au dispensary lakini sijui taratibu za kuanzisha hii huduma. Mimi siyo mtaalamu katika masuala ya afya lakini napenda sana kusaidia jamii hasa katika suala huduma za afya. Nikianzisha huduma hii itabidi niajiri watalaamu kwenye fani husika (yaani laboratory technicians, doctors and nurses) ili kutoa huduma bora ya vipimo vya magonjwa mbalimbali, ushauri wa kitabibu, tiba na uuguzi kwa wagonjwa. Naomba wenye uzoefu mnisaidie au mnipe maelezo kuhusu utaratibu mzima kuanzisha huduma kama hii (vifaa mhimu vinavyohitajika, usajili wa huduma yangu na taratibu zingine zote nk). Natanguliza shukrani.
   
 2. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2013
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Feedback?
   
Loading...