Msaada kuhusu swali hili la katiba

johnshedo

Senior Member
Aug 22, 2013
100
0
Explain the weakness of constitution and the reasons for making new constitution relevant
 

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000
Swali la semina unataka tufanye udese soma machapisho mbalimbali hakuna kitu utakosa ...
 

Mtingaji

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
1,213
1,500
Explain the weakness of constitution and the reasons for making new constitution relevant

Inaonekana wewe ni mwanafuzi, mmepewa home-work na mwalimu wako unataka kupata majibu hapa JF? Kwa mtu anayejua, wajibu wa serikali, haki za binaadamu na thamani ya rasilimali zetu hawezi kuuliza swali la namna hii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom