Msaada kuhusu sheria za Migodini

Kidlee

Kidlee

Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
26
Points
45
Kidlee

Kidlee

Member
Joined Nov 12, 2015
26 45
Wana JF naomba msaada juu ya sheria za migodini..

Ipo hivi kuna mgodi mmoja hapa Tz umetimua wafanya kazi walioupande wa contractors ambao walikuwa kwenye eneo la kazi ambapo tukio la wizi wa vipande vya dhahabu ulitokea..

Wahusika walikamatwa na vithibitisho vya huo wizi lakini ambao walikuw wanafanya nao kazi pamoja waliunganishwa wote na kusimamishwa kazi huku wakidai kuwa yeyote anaekutwa eneo la tukio anafukuzwa pamoja na yule aliehusika kuiba..pia watu hao wameambiwa hawaruhisiwi kufanya kazi mgodi wowote ule maana yake wamekuwa blacklisted...

Je! Sheria ya madini Tz inazungumziaje hili suala..msaada tafadhali..
 

Forum statistics

Threads 1,303,746
Members 501,127
Posts 31,491,051
Top