Msaada kuhusu scholarships za Sweden

Maziku-Winston Smith

JF-Expert Member
May 17, 2015
296
167
Habari zenu wanajamvi.

Nina ndoto za kusoma nchini Sweden kupitia taasisi inayotoa masomo ya ufadhili nchini humo. Kwa wale ambao mmewahi kusoma au bado mnaendelea kusoma mnaweza kunisaidia/kutusaidia namna mchakato wa ku-apply unavyofanyika?

Ninafahamu kwamba utaratibu wa ku-apply unafanyika kupitia website hii: Apply to Swedish universities, courses, and programmes: University Admissions in Sweden – Universityadmissions.se

Miongoni mwa vitu vinavyonichanganya ni hii kitu inaitwa GRE Test. Kingine ninachoomba kusaidiwa ni namna ya kutuma documents za kuthibitisha kuwa nimekidhi vigezo.

Naombeni msaada wenu.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom