thnx mkuu Jerhy..!!Kupitisha hewa ndani kwa njia ya hayo matundu ni muhimu ukizingatia wakati wa jua paa hushika joto ambalo husafiri mpka kwenye dari, hivyo vent huingiza hewa ya kupooza, na pia mvuke unaotoka ndani jikoni, bafuni, n.k hutolewa nje kwa njia ya roof vents, pia muonekano wa vents hufanya paa kuvutia na kupendeza zaidi,.... Watalamu wengine watakupa majibu, subiri wanakuja.....