Msaada kuhusu rita portal kuna update yoyote wangapi tayari washapewa majibu?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Kuna mtu ameweza kupata majibu au kusign in kupitia rita portal akapata majibu?????maana mimi nimewachoka kila siku wananiandikia incorrect username or password

Jee kama umefanikiwa umefanyaje?
 
Kuna mtu ameweza kupata majibu au kusign in kupitia rita portal akapata majibu?????maana mimi nimewachoka kila siku wananiandikia incorrect username or password

Jee kama umefanikiwa umefanyaje?
Jisajili upya kwa taarifa zilezile kisha ingia.Mi nimefanikiwa kuingia ila majibu bado
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom