Msaada: Inawezekana mtu kurudia somo moja kati ya matatu kwa masomo ya kidato cha sita?

Loockman

Member
Jan 21, 2019
73
17
Ningependa kujua kama unaweza kurisiti somo moja tu kwa A level yaani kwa mfano PCB unaweza kurisiti kwa kufanya somo la Physics peke yake

Mimi nimemaliza form six mwaka jana na matokeo yangu nikama ifuatavyo
CHEMISTRY-C
BIOLOGY-C
PHYSICS-E

Sasa kama inawezekana naomba kujua center yeyote iliyopo morogoro ili nilirudie
 
Samahani mimi nimemaliza form six mwaka jana na matokeo yangu nikama ifuatavyo CHEMISTRY C BIOLOGY C PHYSICS E shida yangu kureset mtihani wa PHYSICS shida yangu nipate D au nazaid ili niweze kusoma udaktar sasa nauliza kama kuna mtu anajua center yeyote iliyopo morogoro ili niliseat( SAMAHANI KWA KISWAHILI KIBOVU )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Upo Wap? I Mean Mkoa Ulipo Ili Usaidiwe Vizuri!
 
Back
Top Bottom