Msaada kuhusu Ras Simba

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Nahitaji ushuhuda kwa MTU yeyote aliye na ushahidi kuhusu kujua kuongea English fasaha .

Nahitaji kusoma kozi ya uhakika ila sijawahi kupata ushuhuda wa aliyefanikiwa.
 
Mimi huwa napenda sana kula mchanyanto ngoja nikale kwanza ndiyo nitarudi baadaye
 
Idadi kuubwa ya wanaohangaika sana na English ukubwani
ni wale ambao shuleni waliona kuongea Kingereza ni 'ubishoo'

walijifanya 'masela saana'

na wale ambao wakiona watu wanafuatilia series au filam za kingereza
wanaona 'aah ujinga gani huu'

hadi siku wakwame....ndo hivi...
 
OK wao wamekwama wewe umefanikiwa nini kwa mfano? Inaonesha ww mwenyewe umekwamba ungekuwa unauelewa ungemsaidia badala jipu hilo unalochangia hapo
 
OK wao wamekwama wewe umefanikiwa nini kwa mfano? Inaonesha ww mwenyewe umekwamba ungekuwa unauelewa ungemsaidia badala jipu hilo unalochangia hapo

watu wamemsaidia hapo kutaja British council
mimi sio muhimu...kujua kwa sasa nikikwama ntauliza wanaojua..
now kazi zangu za kila siku kiswahili kinatosha...
sijui kingereza lakini sio muhimu kwa sana kwangu....

nimezungumzia generally tu..labda na mimi ndo hao waliokuwa masela
naona ume panic tayari
 
Idadi kuubwa ya wanaohangaika sana na English ukubwani
ni wale ambao shuleni waliona kuongea Kingereza ni 'ubishoo'

walijifanya 'masela saana'

na wale ambao wakiona watu wanafuatilia series au filam za kingereza
wanaona 'aah ujinga gani huu'

hadi siku wakwame....ndo hivi...

kumbe nawe upo hvyo nilidhani mawazo yangu tu mgando kuwa ukiwa unapenda sana kuangalia SERIEZ za kiingeleza hasa zenye SUBTITLE unaongeza uelewa wa kingereza kichwani
 
Idadi kuubwa ya wanaohangaika sana na English ukubwani
ni wale ambao shuleni waliona kuongea Kingereza ni 'ubishoo'

walijifanya 'masela saana'

na wale ambao wakiona watu wanafuatilia series au filam za kingereza
wanaona 'aah ujinga gani huu'

hadi siku wakwame....ndo hivi...

Kwenye "series" umejichanganya mkuu, huko ndiko wanjifunzia matumizi ya tigo, kuvaa kata k na kiingereza kisicho fasaha.
 
Kwenye "series" umejichanganya mkuu, huko ndiko wanjifunzia matumizi ya tigo, kuvaa kata k na kiingereza kisicho fasaha.

Mkuu naona wewe series zote kwako ni za aina moja?
huu ndo ujuaji tunaopinga
kuna nigerian series
south african series
kenyan series
zambian series
american series
korean series na kadhalika

Wewe umewahi tazama 'Kabanana'?
Zambian series?
 
Anakwambia utajua kuongea kwa miezi mitatu tu,na ukishindwa kuongea ndani ya hiyo miezi mitatu anakurudishia ada yako yote.
 
Rasi simba huyu wa morogoro au kuna MWingine???...hapo akili za kuambiwa changanya na za kwako???
 
Mkuu naona wewe series zote kwako ni za aina moja?
huu ndo ujuaji tunaopinga
kuna nigerian series
south african series
kenyan series
zambian series
american series
korean series na kadhalika

Wewe umewahi tazama 'Kabanana'?
Zambian series?
Anafikiri series Kama Bongo movie
wakorea wanajiheshimu bwanaaa
 
Always tutaishiwa KUTAWALIWA TU! hakuna kitu mwafrica mwenzetu akakifanya tukasifia(mtu hata ukimwambia athibitishe anachokisema hawezi) ila ni chuki na roho mbaya tu ndio zimetujaa.

Laiti kama jambo hili afanyalo Simba angekuja kufanya mzungu hakuna mtu ambae angehoji hivi wala kuendesha fitna za namna hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom