Msaada kuhusu pressure cooker

Katika pitapita huko Instagram nimekutana na mataalam wa kurekebisha hizi pressure cooker, labda anaweza kusaidia in future
Screenshot_20181114-143715.png
cheki
 
Asante mkuu kwa maelezo mwanana...je ni wapi hapa Dar wanauza hivyo vipira na accessories zingine zinazoendana na P/Cooker?

Njoo tukurebishie matatizo ya aina zote ya pressure cooker, kwa maelezo zaidi piga simu 0684017700. Au tembelea dukani
Bombaywalla Appliance Repair na service, pale usoni na libya post office/ furniture centre , karibu na kituo cha mwendokasi kisutu

Pia tunarekebisha microwave, blenda, pasi, birika, rice cooker,pressure cooker, juicer..nk, njoo tukurekebishie za kwako, usiweke stoo vitu vyako

facebook.com/bombaywallla
instagram: @fundi_dsm
 
Hii ya kwanza sio nzuri hapo nilipoweka alama ya kiboksi chekundu kuna kua kama na kitaili cha plastiki kwa ajili ya kukaza sufuria baada ya kuifunga na hizo tairi ni rahisi sana kupasuka na zikishapasuka ndio basi tena

Hiyo ya pili hapo kwenye kimshale hicho kidude cheusi kikipotea ndio basi tena ila hili ni imara sana kwasababu hicho unapachika na kukitoa tu
Hicho kifilimbi vinapatikana kwa sh 10,000 nenda maduka ya vyombo ulizia filimbi ya pressure cooker utapata ingawa sio nyingi sana
 
Asante mkuu kwa maelezo mwanana...je ni wapi hapa Dar wanauza hivyo vipira na accessories zingine zinazoendana na P/Cooker?
wakuu habari za jumapili nilkuwa nauliza hivi pressure cooker isiyotumia umeme ipi nzuri kati ile ya mshikio mmoja na ile yenye mishikio miwili ina filimbi mbili na ipi imara sasa me ninayo hii ya mishikio miwili na filimbi mbili kuna filimbi nyeusi na nyekundu hii nyeusi sijui kuitumia nashkuru

Pressure cooker bora ni za india za kampuni ya prestige, pigeon, saral, kanchan n.k. huwa zinarekebishika na zinadumu sana..
 
Kwa Dar sijajua kama kuna sehemu wanauza, ila kwa huku nilipo nilishapita madukani kuulizia wakaniambia spare hakuna ikabidi ninunue lingine

Njoo tukurebishie matatizo ya aina zote ya pressure cooker, kwa maelezo zaidi piga simu 0684017700. Au tembelea dukani
Bombaywalla Appliance Repair na service, pale usoni na libya post office/ furniture centre , karibu na kituo cha mwendokasi kisutu

Pia tunarekebisha microwave, blenda, pasi, birika, rice cooker,pressure cooker, juicer..nk, njoo tukurekebishie za kwako, usiweke stoo vitu vyako

facebook.com/bombaywallla
instagram: @fundi_dsm
 
Hicho kifilimbi vinapatikana kwa sh 10,000 nenda maduka ya vyombo ulizia filimbi ya pressure cooker utapata ingawa sio nyingi sana

Nenda wakurebishie matatizo ya aina zote ya pressure cooker, kwa maelezo zaidi piga simu 0684017700. Au tembelea dukani kwao Bombaywalla Appliance Repair na service, pale usoni na libya post office/ furniture centre , karibu na kituo cha mwendokasi kisutu

Pia wanarekebisha microwave, blenda, pasi, birika, rice cooker,pressure cooker, juicer..nk, kwa hakika na ubora, kazi nzuri na hawwana longolongo, usiweke stoo vitu vyako tena

facebook.com/bombaywallla
instagram: @fundi_dsm
 
Njoo tukurebishie matatizo ya aina zote ya pressure cooker, kwa maelezo zaidi piga simu 0684017700. Au tembelea dukani
Bombaywalla Appliance Repair na service, pale usoni na libya post office/ furniture centre , karibu na kituo cha mwendokasi kisutu

Pia tunarekebisha microwave, blenda, pasi, birika, rice cooker,pressure cooker, juicer..nk, njoo tukurekebishie za kwako, usiweke stoo vitu vyako

facebook.com/bombaywallla
instagram: @fundi_dsm

Asante kwa msaada wako...nitakutafuta mkuu.
 
Hicho kifilimbi vinapatikana kwa sh 10,000 nenda maduka ya vyombo ulizia filimbi ya pressure cooker utapata ingawa sio nyingi sana
mkuu hicho kitairi cha kufungia kinapatikana dukani au filimbi zile me sijakuelewa filimbi haziharibiki bali kitairi ndio kinaharibika
IMG_20181028_160157.jpg
 
Back
Top Bottom