Msaada kuhusu policy mpya ya WhatsApp, kuna tatizo lolote?

Hata hiyo signal au telegram una uhakika gani kama hawachukui taarifa zako?
Ninavyoamini mimi hakuna siri mtandaoni.
 
Wengine ni majobless lkn wanaogopa eti data zao kuibiwa/kudukuliwa wkt hakuna kwny kitu wanatumia kwny watsap zaidi ya kutuma CV kwa ndg na jamaa kuomba wapigwe tafu kwny suala la ajira.
Ma jobless lakini kumbuka anything can happen,kesho kapata kazi inakuaje hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom