Msaada kuhusu Pikipiki

Hamis Zmc

Member
Aug 25, 2016
48
27
Guys Naitaji kununua pikipiki kwa ajili ya bodaboda, sitakua naendesha Mimi nitamkabidhi MTU kwa ajili hiyo, je ni pikipiki IPI nzuri, imara? Affordable cost (Mimi sio mzoefu sana )
 
Boxer 150(toleo la zaman) ndio pkpk tvs hakuna pkpk pale
boxer bm150 ni nzur ikiwa mpya tu ila ikianza kutoa moshi na ukaifungua kubadili ringpiston ndio umeizika na haiji kuka sawa hata ufanye vp zaidi ni kupoteza pesa tu bila matokeo mazur/NINAZO MBILI ZOTE NIMEZI PARK NDANI NIMETUMIA PESA MPAKA NIKASEMA POO
 
Chukua haojue zile za zaman kidogo hutajuta, ambazo zimekaa kama sanlg n.k achana hizi zenye muundo wa tvs,boxer n.k. hutojuta mkuu nilitumia saana wakat nafanya biashara hizo.
 
boxer bm150 ni nzur ikiwa mpya tu ila ikianza kutoa moshi na ukaifungua kubadili ringpiston ndio umeizika na haiji kuka sawa hata ufanye vp zaidi ni kupoteza pesa tu bila matokeo mazur/NINAZO MBILI ZOTE NIMEZI PARK NDANI NIMETUMIA PESA MPAKA NIKASEMA POO
Hauziuzi??
 
Back
Top Bottom